Florence Majani17 Novemba 2025

Baraza jipya la Mawaziri limezua mjadala nchini Tanzania, kufuatia mabadiliko makubwa ya majina na nafasi. Baadhi ya mawaziri nguli wameachwa , huku sura mpya zikiingia, ikiwa ni pamoja na mtoto wa Rais Samia na mumewe. Jina Paul Makonda nalo limeibua maswali kuhusu taswira ya kisiasa, uhuru wa vyombo vya habari. Najjat Omar alizungumza na Mchambuzi wa siasa Gwandumi Mwakatobe kuhusu baraza hilo.

https://p.dw.com/p/53m0n

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *