Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Johann Wadephul ameitaka serikali ya Serbia, ambayo inadumisha uhusiano wa karibu na Moscow, siku ya Jumanne, Novemba 18, kuchagua kati ya kujiunga na Umoja wa Ulaya au kufuata sera “isiyoeleweka”.

Serbia lazima iamue kama inakusudia "kujipanga na misimamo ya Ulaya kuhusu sera za kigeni na usalama" au kuendelea "kutuma ishara zinazokinzana ambazo haziendani na maadili ya msingi ya Umoja wa Ulaya," Johann Wadephul, waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani amewaambia waandishi wa habari huko Belgrade.
Serbia lazima iamue kama inakusudia “kujipanga na misimamo ya Ulaya kuhusu sera za kigeni na usalama” au kuendelea “kutuma ishara zinazokinzana ambazo haziendani na maadili ya msingi ya Umoja wa Ulaya,” Johann Wadephul, waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani amewaambia waandishi wa habari huko Belgrade. Agencja Wyborcza.pl via REUTERS – Dawid Zuchowicz / Agencja Wyborc

Matangazo ya kibiashara

Serbia lazima iamue kama inakusudia “kujipanga na misimamo ya Ulaya kuhusu sera za kigeni na usalama” au kuendelea “kutuma ishara zinazokinzana ambazo haziendani na maadili ya msingi ya Umoja wa Ulaya,” waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani amewaambia waandishi wa habari huko Belgrade akiambatana na mwenzake wa Serbia, Marko Djuric, kulingana na shirika la habari la AFP.

Habari zaidi zinakujia…

Kusambaza :

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *