Bodi ya Magavana wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) limepitisha azimio siku ya Alhamisi, Novemba 20, likiitaka Iran kushirikiana “kikamilifu na bila kuchelewa,” kulingana na wanadiplomasia.

Imechapishwa:

Dakika 1 Wakati wa kusoma

Matangazo ya kibiashara

Azimio hilo lililopitishwa kwa kura 19 za kuunga mkono—tatu zilizopinga na wajumbe 12 wamejizuia—linaisihi Tehran kutoa “ushirikiano kamili na wa haraka” kwa “kutoa taarifa na ufikiaji” wa vituo vyake vya nyuklia zilizombwa na IAEA.

Habari zaidi zinakujia…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *