TRA Kagera surpasses three-month revenue target
BUKOBA: THE Tanzania Revenue Authority (TRA) in Kagera Region has collected 57.8bn/- during the first three months of the 2025/26 financial year, exceeding its target of 50.3bn/- and achieving 114…
BUKOBA: THE Tanzania Revenue Authority (TRA) in Kagera Region has collected 57.8bn/- during the first three months of the 2025/26 financial year, exceeding its target of 50.3bn/- and achieving 114…
DODOMA: KONGWA District residents have been urged to support students of the Vocational Education and Training Authority (VETA) by using products and services made at the institution as part of…
DODOMA: DODOMA Regional Administrative Secretary, Dr Khatibu Kazungu, has directed council directors in the region to allocate funds in their budgets to upgrade education infrastructure in order to improve teaching…
DODOMA: THE Ministry of Livestock and Fisheries, in collaboration with Sokoine University of Agriculture and a team of researchers from Jeonbuk University in South Korea, is set to implement a…
Viongozi wa Ulaya na Afrika wakutana Luanda kwa mkutano wa kilele+++Ukraine- Zelenskiy asema Urusi imerusha makombora 22 mjini Kyiv+++Amnesty International yawashutumu RSF kwa uhalifu wa kivita+++Umoja wa Mataifa wasema mwanamke…
Shutuma dhidi ya nchi ya Falme za Kiarabu zinazidi kumiminika mitandaoni kufuatia hali mbaya ya kibinadamu iliyo katika mji wa El- Fasher uliotekwa na wanamgambo wa RSF wiki mbili zilizopita+++Majengo…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Kiongozi wa wapiganji wa RSF alisema Jumatatu jioni kwamba wapiganaji wake watasitisha mapigano kwa kipindi cha miezi mitatu kwa misingi ya kibinadamu.
Zaidi ya waendesha bajaji 4,000 kutoka mikoa ya Dodoma, Arusha, Morogoro na Tanga wanatarajia kunufaika na mpango wa kuongeza vituo vya usambazaji na ujazaji wa gesi katika mikoa hiyo unaotarajiwa…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 24 NOVEMBA 2025
Jehsi la Sudan mjini Babnousa vimekabili na kurudisha nyuma shambulio la wapiganaji wa RSF huku mapigano makali yakiendelea katika majimbo yote ya Kordofan.
Wakati Serikali ikiwataka wanaotafuta ndugu zao kufika vituo vya polisi, baadhi ya Watanzania...
Watuhumiwa wa makosa ya kuchoma moto, kuharibu mali za umma na unyang’anyi wa kutumia silaha...
#HABARI: Mwanaume mmoja, mkazi wa Makoko, Manispaa ya Musoma, Mkoa wa Mara, amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kubaka na kulawiti watoto wake wa kambo nyakati tofauti. Polisi…
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania(DPP), amewafutia kesi na kuwaachia huru...
Kupooza usingizini huhusisha sayansi na imani za kiroho, na kuonyesha jinsi tamaduni zinavyoathiri namna watu wanavyoitikia hali inayochanganya kati ya uhalisia, ndoto, na udhaifu wa kibinadamu mbele ya hofu.
Wamekataa kubaguana, ndiyo uhalisia wa kinachoonekana katika mitandao ya kijamii nchini...
🔴DAKIKA 45 NA DKT.DONALD MMARI MKURUGENZI MTENDAJI REPOA, NOVEMBA 24, 2025
Wafanyabiashara nchini wametakiwa kujiandaa na ushindani wa kibiashara, kufuatia hatua ya...
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania(DPP), amewafutia kesi na kuwaachia huru...
Serikali imetangaza mwaka huu, hakutakuwa na sherehe za maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika...
Siku ya kimataifa ya pacha walioungana imeadhimishwa leo, na katika kuikumbuka siku hiyo Azam News inaangazia hali ya watoto mapacha waliotenganishwa baada ya kuzaliwa wakiwa wameungana, ambao kwa sasa wanaendelea…
Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) amewaondolea mashtaka jumla ya watu 208 waliokuwa wameshtakiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo uhaini, unyang’anyi wa kutumia silaha, uharibifu wa mali pamoja na njama za kuvuruga…
Wadau wa afya wameishauri serikali kuhakikisha kuwa katika kutekeleza sera ya bima ya afya kwa wote wanazingatia vifurushi kulingana na uwezo tofauti wa wananchi ili kila mmoja aweze kunufaika na…
Wakati msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka ukikaribia, bei za bidhaa mbalimbali za vyakula...
Serikali imetoa zaidi ya Sh2.8 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya soko la kisasa la...
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU- 24 NOVEMBA 2025- WAZIRI MKUU ATOA SIKU 10 HUDUMA ZA MWENDO KASI
#HABARI: Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi (Mb), ametoa wito kwa viongozi na watendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) pamoja na Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa…
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ametaka mfanyakazi yeyote wa umma atakayebainika kuwa mzembe au...
#HABARI: Serikali ya Jamhuri ya Korea kupitia Shirika lake la Maendeleo KOICA imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa maji safi na salama wenye thamani ya shilingi bilioni 27, mradi utakaowanufaisha…
#HABARI: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Hamad Chande, amekabidhi pikipiki ya miguu mitatu (BAJAJI) kwa mtumishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Bw. Elihuruma Rashid, Askari…
#HABARI: Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati Mhe. Salome Makamba ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kuimarisha njia bora na ya haraka ya usafirishaji wa…
Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amemwambia mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin, kwamba Ankara itaendelea kusaidia kuhakikisha kuwa vita kati ya Urusi na Ukraine vinamalizika kwa amani ya haki na…
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameagiza kufunguliwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima, huku...
Vikwazo vya hivi karibuni vya kimataifa vilivyotangazwa tena dhidi ya utawala wa Iran juu ya mpango wake wa nyuklia, vimeanza kuleta athari kubwa haswa upande wa upatikanaji wa dawa muhimu…
Wakili aliyekuwa akiwatetea watuhumiwa wa kesi za maandamano katika Wilaya ya Nyamagana mkoani...
Shirika la Chakula na Kilimo FAO na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani WFP yameonya kwamba Kenya huenda ikakabiliwa na janga kubwa la njaa Mashirika hayo yameonyesha ongezeko la hatari…
Marekani na Ukraine zinaendelea na mazungumzo nchini Uswisi ili kufikia mpango wa amani unaokubalika kwa pande zote. Hayo ni baada ya kukubaliana kurekebisha pendekezo la Marekani
Je, unashauri nini kifanyike katika kuhakikisha utekelezwaji wa sera ya bima ya afya kwa wote unafanikiwa Tuandikie maoni yako, tutayasoma kwenye #AzamNews leo kuanzia saa 2:00 usiku kupitia #UTV.
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
DODOMA: Energy Deputy Minister, Ms Salome Makamba, met with members of the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) management in Dodoma on Monday to discuss various operational issues and…
Wakfu wa Thabo Mbeki, rais wa zamani wa Afrika Kusini umetoa tamko kuhusu uchaguzi wa hivi karibuni Tanzania na kueleza kwamba ulikosa misingi na miongozo inayosimamia chaguzi za kidemokrasia katika…
Katika kipindi cha miaka minne, Tanzania imeendelea kushuhudia mfululizo wa matukio ya ukatili...
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiizindua tume aliyoiunda kuchunguza yaliyofanyika wakati wa...
Mkuu wa Baraza la Utawala wa Mpito la Mpito nchini Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, amekataa pendekezo lililowasilishwa na mshauri wa Rais wa Marekani kuhusu masuala ya Kiarabu na Afrika, Massad…
Iran imeilaani Israel kwa mauaji ya kamanda mkuu wa kijeshi wa kundi la Hezbollah nchini Lebanon, katika shambulio la tano kufanyika kwenye mitaa ya kusini mwa Beirut.
Kamanda Mkuu wa zamani wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameonya kuwa mauaji yanayofanywa na utawala wa Israel dhidi ya makamanda wa Muqawama yanaharakisha kuangamia utawala huo.