Chalamila kushughulikia yanayoichonganisha Serikali na wananchi
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametaja baadhi ya huduma zinazotolewa na...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametaja baadhi ya huduma zinazotolewa na...
Ukarabati wa meli kongwe ya MV Liemba, ambayo ilisitisha safari zake mwaka 2018 kutokana na...
Mkurugenzi wa Kampuni ya Jatu na wenzake wanakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka...
Tanzania itaanza ujenzi wa bandari mpya mashariki mwa nchi mwezi Desemba mwaka huu na hivyo kumaliza muongo mmoja wa ucheleweshaji kutokana na pingamizi la serikali kwa masharti ya awali ya…
Nenda kwenye ukurasa wa kwanza / COP 30 Mkuu wa tume ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa, Volker Turk, amelalamikia kile alichokisema makubaliano finyu ya mkutano wa hali…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetahadharisha kuhusu hali mbaya ya njaa, kusitishwa huduma muhimu na tishio la maisha ya mamilioni ya wakimbizi wa Kipalestina…
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, ameagiza kufunguliwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima pamoja na kukiweka chini ya uangalizi wa miezi sita ili kuhakikisha…
đź”´HAPA NA PALE KUTOKA RUVUMA - 24 NOVEMBA 2025 -
“….vitu hivi sio mali ya Serikali inaitwa miundombinu ya Umma, hii si mali ya serikali….” - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: -…
MWANZA: THE Ilemela District Court today released 76 people who had been charged with treason in connection with violence that followed the opposition’s reaction to Tanzania’s October 29, 2025 General…
Recep Tayyip Erdogan asisitiza haja ya “shinikizo kubwa la kidiplomasia” dhidi ya Israel, na kusema kwamba makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza yanapaswa kutekelezwa kikamilifu.
DAR ES SALAAM: THE Prime Minister, Mwigulu Nchemba, has directed the Minister for Home Affairs, George Simbachawene, to reopen the Ufufuo na Uzima Church led by Bishop Josephat Gwajima, which…
Wakfu wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki umekosoa vikali zoezi la uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Tanzania Oktoba 29, 2025. Imechapishwa: 24/11/2025 – 15:45 Dakika 1 Wakati wa…
Wimbi la hofu limeikumba jamii ya Borno, na raia wengi wameanza kuondoka majumbani mwao leo Jumatatu, siku mbili baada ya ISWAP, tawi la kundi Boko Haram, kuwateka nyara mabinti 13…
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ameihimiza Tume ya Ushindani (FCC) kuongeza ufanisi katika kudhibiti bidhaa feki na kuimarisha utendaji ili kukidhi matarajio ya Watanzania. The post FCC yatakiwa…
Muungano wa nchi zinazosaidia upatikanaji wa chanjo duniani kwa nchi masikini, Gavi, Pamoja na shirika la kuhudumia watoto UNICEF wamefikia makubaliano mapya kuhusu bei, ambapo yatashuhudia kupungua kwa gharama ya…
LICHA ya kuwa na mabao matatu katika akaunti ya Ligi Kuu Bara, mshambuliaji wa Pamba Jiji, Peter Lwasa, amesema bado anaamini ana nafasi ya kuwa bora zaidi mbele ya lango…
#HABARI: Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ameielekeza Wizara ya Mambo ya Ndani kufungulia Kanisa la Ufufuo na Uzima pamoja na taasisi nyingine za kidini zilizokuwa zimefungwa, lakini…
NA leo tena! Ndivyo unavyoweza kusema wakati KMC iliyotoka kupasuka nyumbani katika mechi iliyopita mbele ya maafande wa JKT Tanzania, leo itashuka tena uwanjani kuvaana na Mtibwa Sugar iliyopoteza pia…
NA leo tena! Ndivyo unavyoweza kusema wakati KMC iliyotoka kupasuka nyumbani katika mechi iliyopita mbele ya maafande wa JKT Tanzania, leo itashuka tena uwanjani kuvaana na Mtibwa Sugar iliyopoteza pia…
#HABARI: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu DSM imewaachia huru watuhumiwa 47 wa kesi ya uhaini waliokuwa wakishikiliwa tangu Oktoba 29, 2025, kufuatia matukio ya vurugu za baada ya uchaguzi. Uamuzi…
Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon Tchiroma Bakary amekimbilia nchini Gambia baada ya uchaguzi uliopingwa. Imechapishwa: 24/11/2025 – 15:21Imehaririwa: 24/11/2025 – 16:12 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma…
BAADA ya Fountain Gate kupoteza mechi iliyopita dhidi ya Pamba Jiji, kocha wa kikosi hicho, Mohamed Laizer amesema haikuwa bahati yao huku akielekeza nguvu zake katika kuikabili Tanzania Prisons wikiendi…
BAADA ya kuvuna pointi tatu dhidi ya waajiri wake wa zamani wa Mbeya City, kocha wa Mashujaa, Salum Mayanga amezisifu timu pinzani na kuwakingia kifua washambuliaji kwa kuzipa timu zao…
Mkutano wa ngazi ya juu na wa kwanza kufanyika barani Afrika wa kundi la mataifa yenye uchumi mkubwa duniani, G20, ulihitimishwa rasmi jana jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini.
Kulingana na msimamizi mkuu wa hekalu hilo, Pairat Soodthoop, mwili huo uliletwa na kaka wa marehemu hekaluni hapo, kwa ajili ya kuchomwa moto, kulingana na imani za Kibudha.
Kanisa Katoliki na Jumuiya ya Kikristo ya Nigeria linasema wanafunzi 50 kati ya zaidi ya 300 waliotekwa nyara kutoka shule ya Kikatoliki ya Nigeria wametoroka na kuungana na wazazi wao.
DODOMA: THE Permanent Secretary in the Ministry of Community Development, Gender, Women, and Special Groups, Dr John Jingu, has held discussions with the Financial Sector Deepening Tanzania (FSDT) aimed at…
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, watu wawili wanaripotiwa kuuawa na wengine 15 kujeruhiwa vikali katika mapambano kati ya kundi la Wazalendo na askari wa Kongo, FARDC, mjini Uvira.
“….na mimi niungane na Mheshimiwa Rais pamoja na waheshimiwa Mawaziri waliotangulia kusema na wasemaji, kutoa pole kwa wale wote walioathirika na tukio hili poleni sana…lakini tukio hili lina madhara ya…
Mchezaji wa klabu ya RB Leipzig Assan Ouedraogo ameendelea kuonyesha makeke yake katika undesliga kwa kufunga bao maridadi dhidi ya St Pauli. Ouedraogo alicheza mechi yake ya kwanza na timu…
USUGU wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa umetajwa kuwa tishio kubwa kwa watoto wenye umri mdogo kutokana na matumizi yasiyo sahihi ya viuavijasumu The post Usugu wa dawa tishio…
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Watu Wenye Ulemavu), Ummy Nderiananga, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mashindano ya mbio za baiskeli yanayolenga kukusanya zaidi ya Sh100…
Nyota mkongwe wa filamu za Kihindi, Dharmendra afariki dunia asubuhi ya leo Jumatatu akiwa na...
WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 24, 2025, amekagua miundombinu na mali zilizoharibiwa kufuatia vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 jijini Dar es Salaam. Ziara hiyo imelenga kujionea uharibifu uliotokea…
Upelelezi wa kesi ya kughushi vibali vya kumiliki silaha inayowakabili watu tisa wakiwemo...
Taarifa hiyo inakuja siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania kuzindua tume itakayochunguza vurugu zilizotokea siku na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, huku akiipa tume…
DAR ES SALAAM: TANZANIA will host the African Antimicrobial Resistance Conference to be held from December 2 to 6, 2025, in Dar es Salaam, aiming to discuss the status of…
Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya imetoa mkopo wa zaidi ya Sh789.5 milioni kwa...
KILIMANJARO: A first-time visitor to the country, Anna, a Swiss living in Germany, has praised Tanzania’s irresistible charm, noting that the country’s famous safaris, breathtaking landscapes, and the magnetic energy…
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, imewaachia huru watuhumiwa 57 wa kesi ya uhaini waliokuwa wakishikiliwa tangu Oktoba 29, 2025 kufuatia matukio ya vurugu za baada ya uchaguzi.…
Mvua zinazoendelea katika baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Sumbawanga zimesababisha kusombwa kwa...
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has begun the process to restore the Dar es Salaam Rapid Bus services for the Kimara route. Speaking after receiving the delegation, the Dar…
đź”´MEZA HURU - UMUHIMU WA BIMA...NOVEMBA 24- 2025
BRAZIL: A Non-Governmental Organisation dubbed MWANAMKE Initiatives Foundation (MIF) has expressed its commitment to expanding clean cooking solutions as a key driver of improved health, women’s empowerment, and environmental protection.…
DODOMA: TANZANIA continues to make significant progress in its programme to establish mineral value-addition industries, with the construction of a new nickel and copper processing and smelting plant now 85…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM), leo hii huko Geneva, Uswisi limezindua kampeni ya kimataifa iitwayo “Anyone a Victim,” yaani "kila mtu ni muathirika" au kwamba kila mmoja…
Muungano wa chanjo duniani Gavi, na shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF wamefikia makubaliano mapya ya bei ambayo itapunguza kwa kiasi kikubwa gharama ya chanjo muhimu ya…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa AntĂłnio Guterres leo ametoa onyo kali katika Mkutano wa 7 wa Muungano wa Afrika na Muungano wa Ulaya unaofanyika mjini Luanda Angola, akisema kuwa…
Mashindano ya mpira wa miguu yanayofahamiaka kama Hope Championship kwa watu waliokatwa viungo katika Ukanda wa Gaza yamemalizika majuzi baada ya siku nne mfululizo za michuano. Mashindano haya yanaandaliwa na…