Benki za Marekani zaachana na mpango wa uokoaji wa dola Bilioni 20 kwa Argentina
Mpango wa uokoaji wa kifedha wa Argentina umepunguzwa. Kulingana na Gazeti la Wall Street Journal, benki kadhaa za Marekani zimeamua kujiondoa kwenye makubaliano ya mkopo wa dola bilioni 20 waliyokuwa…