Sudan: Serikali yafutilia mbali pendekezo la kusitisha vita la Marekani
Viongozi wa Sudan wametupilia mbali pendekezo la kusitisha vita lililotolewa na Marekani, Waziri wa Ulinzi wa Sudan alitangaza kwenye televisheni siku ya Jumanne, Novemba 4. Tangu Septemba, Massad Boulos, mjumbe…