#HABARI: Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake anayesadikiwa kuwa ni jambazi ameuawa, katika tukio la unyang’anyi wa kutumia silaha ndani ya Ziwa Tanganyika, katika majibizano ya risasi na Jeshi la Polisi, ambapo pia silaha moja aina ya AK 47 na risasi 20, zimepatikana katika tukio hilo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania