Arsenal ilivyozima miujiza ya Aston Villa
Arsenal imeendelea kuonyesha dhamira ya kushindania taji la Ligi Kuu Englanda msimu huu baada...
Arsenal imeendelea kuonyesha dhamira ya kushindania taji la Ligi Kuu Englanda msimu huu baada...
DAR ES SALAAM: STRATEGIC Public-Private Partnerships (PPPs) have significantly transformed the country’s port operations and infrastructure, leading to improved efficiency and service delivery. According to the Tanzania Ports Authority (TPA),…
DAR ES SALAAM; MWAKA 2025 utaendelea kukumbukwa kama kipindi cha kihistoria kilicholeta mageuzi makubwa katika sekta ya usafirishaji na miundombinu nchini Tanzania. Katika mwaka huu, serikali iliongeza kasi ya utekelezaji…
Awali ya yote niwatakie watanzania wote heri na baraka za sikukuu za Krismas na Mwaka Mpya.
DAR ES SALAAM; Mwaka 2025 umeacha kumbukumbu nzito kwa Watanzania, ukiwa na mchanganyiko wa matumaini, majonzi na majaribu makubwa. Miongoni mwa matukio yaliyogusa hisia za wengi ni kupoteza wapendwa, viongozi…
#LiveonClouds360 #CloudsTvNyoosha #LainiYawana
DAR ES SALAAM; Mwaka 2025 utaendelea kukumbukwa kama kipindi ambacho Tanzania iliimarisha kwa vitendo nafasi yake katika diplomasia ya kikanda na kimataifa. Kupitia mikutano ya ngazi ya juu, utekelezaji wa…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 31,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #azamtvupdates
Kwanza, nitoe salamu zangu, za Bi Mkubwa, na watoi tunapofunga na kuanza mwaka. Kipekee...
Maige ametoka jela..Mussa ajiweka wazi kuwa anampenda Radhia. Sijui itakuwaje leo? Usikose leo #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD
Baada ya kukabiliana na changamoto mbalimbali mwaka 2025, Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Soma zaidi hapa...
Baada ya kukabiliana na changamoto mbalimbali mwaka 2025, Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Timu ya taifa ya Senegal imefanikiwa kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya AFCON inayoendelea nchini Morocco na kumaliza wa kwanza kwenye Kundi lake, ushindi huo sasa ukifanya DRC…
Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Watoto UNICEF, linasema zaidi ya nusu ya watoto kwenye mji wa Um Baru huko Darfur Kaskazini, wanakabiliwa na utapiamlo, shirika hilo likisema hali inayoshuhudiwa…
🔴#KUMEKUCHA: SALAMU ZA JESHI LA POLISI KUELEKEA MWAKA MPYA....DISEMBA 31, 2025
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba, amesema kudhibiti biashara holela ya...
Dunia imeanza sherehe za kuuaga mwaka 2025 uliogubikiwa na mambo lukuki ikiwemo ushuru wa Rais Trump, usitishaji wa mapigano huko Gaza, pamoja na mazungumzo ya kusaka amani kuhusu vita vya…
Siku 90 zilizobainishwa na Katiba kwa ajili ya kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK)...
#KIPIMAJOTO: Kamati za mikoa zenye dhamana ya kushughulikia wananchi na miundombinu maafa kama ya mvua zinazoendelea nchini yanapotokea. Je, zimewezeshwa kifedha na vifaa vya Uokozi ili zitekeleze majukumu yake ipasavyo?
Leo ni Jumatano tarehe 10 Rajab 1447 Hijria sawa na tarehe 31 Disemba 2025.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...DISEMBA 31, 2025
Iran imetangaza kulitambua Jeshi la Wanamaji la Canada kama shirika la kigaidi, ikijibu uamuzi wa huko nyuma wa Ottawa wa kuliorodhesha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran…
Tume ya uchaguzi ya Guinea Conakry ilitangaza jioni ya jana Jumanne kwamba kiongozi wa kijeshi wa nchi hiyo, Mamadi Doumbouya, ameshinda kwa kishindo kwa kupata asilimia 86.72 ya kura katika…
Katibu Mkuu wa Majlisi ya Uamsho ya Kiislamu Duniani amesema kuwa, maadui wa Iran walikosea sana katika mahesabu yao juu ya nguvu za kijeshi za Jamhuri ya Kiislamu, kwani makombora…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesisitiza upinzani wa moja kwa moja wa Tehran dhidi ya hatua yoyote ya vitisho dhidi ya ardhi, uhuru na mamlaka…
Maelfu ya wananchi wa Somalia wameendelea kumiminika mabarabarani katika miji mbali mbali ya nchi hiyo, kupinga na kulaani uamuzi wa utawala haramu wa Israel wa kulitambua eneo la Somaliland la…
Mataifa na asasi mbalimbali za Kiafrika, Kiarabu na Kiislamu zimepinga vikali hatua ya utawala vamizi wa Israel ya kulitambua rasmi eneo la 'Somaliland', ambalo limejitenga na Somalia, kama taifa huru…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini, Mkoani Tanga Reuben Kwagilwa anatarajiwa kufunga rasmi mashindano ya "Moja kw amoja Cup" yaliyohusisha timu 12 kutoka kata mbalimbali za jimbo hilo, ambapo mashindano…
Ni sauti zinazoimba nidhamu, zinazoeleza maadili, na kugusa mioyo bila kelele. Wanaitwa The Golden Voice wameitwa na Makachero na wameitika kwa Sauti ya dhahabu. #SentroCloudsTv #Clouds26Nyoosha..!!
Malkia wa Nguvu, Lightness Guga akielezea mipango yake ya kibiashara. #SentroYaCloudstv #LainiYawana
"Tuangalie fursa, tuzibadilishe kuwa ajira"- Malkia wa Nguvu, Lightness Guga. #SentroYaCloudstv #LainiYawana
Neno kutoka kwa Malkia wa Nguvu, Lightness Guga. #SentroYaCloudstv #LainiYawana
TAIFA Stars imekaza msuli na kutoka sare ya bao 1-1 na Tunisia katika mchezo wa Kundi C la mashindano ya Kombe la Matiafa ya Afrika (Afcon) na hivyo timu hizo…
"Niliolewa katika umri mdogo na kuolewa kwangu sio kwamba nilipanga. Niliolewa nikiwa na miaka 19. Na kama ingekuwa ni sasa hivi nimepata kibali cha ndoa ningesema hapana!- Malkia wa Nguvu,…
Rais Mwinyi amefanya mabadiliko hayo baada ya kupita siku tisa tangu ateue wenyeviti wa bodi ya...
Timu ya Taifa ya Tanzania imefuzu kutinga hatua ya 16 Bora ya michuano ya AFCON 2025 baada ya kutoka na sare ya bao 1 - 1 dhidi ya Tunisia usiku…
Katika matokeo hayo, Asha amepata kura 9,861 akifuatiwa na mgombea wa ACT Wazalendo, Khamis...
Tanzania imeandika historia katika mashindano ya AFCON 2025 baada ya kukata tiketi ya kushiriki...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewaagiza Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya…
Wananchi wa kijiji cha Milala, wilayani Mpanda, mkoani Katavi wamewaweka 'kitimoto' viongozi wa eneo hilo wakitaka majibu kuhusu eneo lililotengwa kwa ajili ya makaburi kugeuzwa shamba. Mwanaidi Waziri amefuatilia sakata…
"Mama yangu ni mmoja kati ya watu ambao wamenipa chachu ya kujifunza kwamba lazima usimame mwenyewe. Na kwenye maisha huwezi kutegemea mtu lazima kujifunza usimame mwenyewe akitokea wa kukusaidia sawa!…
Serikali imesema kuwa kuanzia sasa, wawekezaji watahusika moja kwa moja katika kulipa fidia kwa wananchi wanaopisha maeneo ya uwekezaji kabla ya kuanza shughuli zao za uzalishaji, ikiwa ni moja ya…
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema umejipanga kuanza utekelezaji wa mpango wa 'Bima ya Afya kwa Wote' unaotarajiwa kuanza Januari Mosi, 2026 huku Mkurugenzi Mkuu (NHIF), Dkt.…
Achana na ya Shakei 😅🙌 wasikilize watoto wa Mzee Maega
Tujuze! #SentroYaCloudstv #CloudsTvNyoosha #LainiYawana
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 3012/2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA DISEMBA 30, 2025 - WANNE WANAODAIWA KUWA MAJAMBAZI WAFARIKI SONGWE