Tanzania yavuna Sh26.95 trilioni kwenye uwekezaji, China kinara
Tanzania imerekodi ongezeko la mitaji hadi kufikia Sh26.95 trilioni katika mwaka 2025 huku...
Tanzania imerekodi ongezeko la mitaji hadi kufikia Sh26.95 trilioni katika mwaka 2025 huku...
MWAKA 2025 umekuwa na huzuni kubwa kwa Tanzania baada ya kupoteza baadhi ya viongozi wake wakuu waliochangia kwa kiasi kikubwa katika siasa, uongozi na maendeleo ya taifa. Vifo vyao vimewaacha…
Uhondo wa mechi za leo unatokana na wapinzani wanaokwenda kukutana, huku kila mmoja akihitaji kushinda na kusaka rekodi.
#HABARI: Waombaji 14,433 wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundistadi VETA kwa mwaka wa masomo 2026 kati ya 18,875 waliowasilisha maombi wakiwemo 134 ambao ni wahitimu wa elimu ya juu wenye…
#HABARI: Watu wanne wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamefariki dunia wakati wakipatiwa matibabu baada ya kujeruhiwa katika majibizano ya risasi na Jeshi la Polisi mkoani Songwe. Tukio hilo lilitokea katika eneo…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia mtu mmoja kati ya watuhumiwa sita wanaodaiwa...
MAENDELEO ya afya ya msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya na mbunge wa zamani wa Mikumi, Joseph Haule ‘Professor Jay’, yameimarika kwa kiasi kikubwa, huku ikitabiriwa kuwa atarejea rasmi…
Nchi ya Saudi Arabia, inaishtumu Falme ya Kiarabu, kwa kuhusika kwenye vitendo inavyosema ni hatari nchini Yemen. Imechapishwa: 30/12/2025 – 16:10Imehaririwa: 30/12/2025 – 16:31 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo…
#HABARI: Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu, leo Disemba 30, 2025, imekutana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA PWANI- DISEMBA 30, 2025
Ruhere amesema licha ya kukata tiketi ya Business Class, hakukuwa na utaratibu wa wazi wakati...
Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Kuu Dodoma, imeridhia maombi ya Chama cha ACT–Wazalendo ya...
MSANII wa muziki wa kizazi kipya na miondoko ya Singeli, Abdallah Ahmed, maarufu kama ‘Dulla Makabila’, amesema ameweka rekodi mpya katika safari yake ya sanaa baada ya kutumia Sh milioni…
Sauti zao zimebeba heshima thamani na hadhi ya dhahabu. Ni sauti zinazoimba nidhamu, zinazoeleza maadili, na kugusa mioyo bila kelele. Wanaitwa The Golden Voice wameitwa na Makachero na wameitika kwa…
WAKATI dirisha dogo la usajili likitarajiwa kufunguliwa kuanzia Januari Mosi, 2026, uongozi wa Mbeya City uko katika mazungumzo ya kuipata saini ya aliyekuwa kiungo wa Yanga, Zawadi Mauya, ikiwa ni…
Nchini Ivory Coast, chama tawala chake rais Allasane Ouattara, RHDP kimepata ushindi kwenye uchaguzi wa wabunge uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. Imechapishwa: 30/12/2025 – 15:52Imehaririwa: 30/12/2025 – 15:54 Dakika 1…
KIUNGO wa JKT Tanzania, Saleh Karabaka amesema japo msimu huu anataka kufunga mabao mengi ikiwezekana 20, lakini bado haamini kilichomtokea hadi sasa kwani tangu aanze kucheza Ligi Kuu ndiyo mara…
DODOMA Jiji iko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Coastal Union, Mghana Dennis Modzaka baada ya kikosi hicho na nyota husika kufikia makubaliano.
BAGAMOYO: THE Tanzania Investment and Special Economic Zones Authority (TISEZA) has broken a record by registering a total of 915 investment projects valued at 10.95 billion US dollars during the…
Marekani imezindua mpango wa kutafuta Dola Bilioni 2 kusaidia kuinua mfuko maalum unaoshughulikia masuala ya kibinadamu katika nchi mbalimbali zinazokabiliana na utovu wa usalama. Imechapishwa: 30/12/2025 – 15:38Imehaririwa: 30/12/2025 –…
OFISA Habari wa Klabu ya Young Africans, Ali Kamwe, amezua mjadala katika mitandao ya kijamii baada ya kuchapisha ujumbe unaogusia uwezekano wa kurejea mahusiano yake ya zamani. The post Ali…
MABINGWA mara nne wa Kombe la Mapinduzi, Simba SC, imeambiwa ije kwa tahadhari kushiriki mashindano hayo kwani ratiba ya mechi zao mbili hatua ya makundi hazitakuwa rahisi.
HEBU fikiria. Wewe ni mchezaji, inatoka listi ya wanaoanza kikosi cha kwanza katika mechi, jina lako lipo, lakini baada ya dakika 28 tangu kipute kuanza, unaitwa benchi. Nafasi yako anachukua…
#Happybirthday | Godbright Mlay (Public Relation Officer Tanzania Commercial Bank) tunakutakia maisha marefu yenye baraka na mafanikio zaidi. #Clouds26Nyoosha
BAGAMOYO: MAMLAKA ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imevunja rekodi kwa kusajili jumla ya miradi 915 yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 10.95 kwa kipindi cha…
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anamringi Macha ameuagiza uongozi wa Halmashauri Wilayani Busega kuchukua hatua madhubuti ikiwemo kuwatafutia eneo mbadala Wananchi wanaofanya shughuli zao za biashara katika Soko la Kisesa…
DODOMA: The Minister of Finance, Khamis Mussa Omar, has directed the Tanzania Investment Bank (TIB) to further strengthen its operational systems in order to achieve the objectives for which it…
Sandra yuko mafichoni kumbe anawasiliana na Bisura 😱
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji amekabidhi vitendea kazi vyenye thamani ya...
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Rajab Abdul maarufu kama ‘Harmonize’, na mwigizaji Frida Kajala, wamevuta hisia za wadau wa burudani baada ya kuvishana pete ya uchumba kwa mara…
Mfanyabiashara na raia wa India, Dharmendra Gaikwad (49) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...
Mahakama ya Rufaa nchini imefuta hukumu ya kifungo cha maisha jela aliyokuwa amehukumiwa Rahim...
Shughuli ya upigaji kura kumchagua Mbunge wa Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro inaendelea...
Dawati la jinsia Mkoa wa Iringa limesisitiza kuwa kuimarisha ushirikiano wa kifamilia ni njia...
DAR ES SALAAM: THE Minister for Community Development, Gender, Women and Special Groups, Dorothy Gwajima, has commended the National Arts Council of Tanzania (BASATA) for directing masters of ceremonies (MCs),…
Wakati waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima, wakisubiri msimamo wa...
#HABARI: Abiria wanaosafiri kati ya Dar es Salaam na Dodoma kupitia Reli ya Kisasa (SGR), wamepongeza Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa kuchukua hatua za haraka kushughulikia changamoto za usafiri…
HALMASHAURI ya Manispaa ya Geita imeweka wazi kuwa imejipanga kikamilifu kuhakikisha kila shule inakuwa na miundombinu rafiki kwa watoto ambao ni wanafunzi wenye mahitaji maalum. Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo,…
Wananchi wa Kijiji cha mgagao na vijiji jirani wanaozunguka Kijiji hicho klilicho wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro wameondokana na adha ya kutembea umbaki mrefu kutafuta maji safi na salama,baada ya…
Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Bangladesh, Khaleda Zia amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80.
MACHO ya mgeni yeyote anayetembelea kumbi za mikutano za mabunge kuanzia Dodoma, Tanzania, pale Nairobi, Kenya na hata London, Uingereza yatakutana na mandhari yanayofanana kwa namna ya ajabu. The post…
Heri ya kumbukizi ya siku yako ya kuzaliwa, Naibu Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Bukombe, Mheshimiwa Dkt. Doto Mashaka Biteko (@biteko). #Cloudsmediagroup tunakutakia maisha marefu yenye mafanikio na baraka…
Takwimu rasmi zinaonyesha ukuaji wa mauzo ya nje ya Iran kwa nchi za Afrika katika miezi minane iliyopita.
Hatua ya utawala vamizi wa Israel ya kulitambua rasmi eneo la 'Somaliland, ambalo limejitenga na Somalia, kama taifa huru na lenye mamlaka kamili.imekabiliwa na radiamali kali ya Jumuiya ya Nchi…
DAR ES SALAAM: MOUNT Kilimanjaro has once again drawn global attention after international artist Kanye West, popularly known as Ye, listed the iconic mountain as the first goal among his…
DODOMA: THE Ministry of Education, Science and Technology and the Prime Minister’s Office, Regional Administration and Local Government (PO-RALG), has received a preliminary report from the Committee for the Review…
KATIKA anga za siasa za Tanzania zinazohitaji umakini na ustahimilivu wa hali ya juu, jina la Najma Murtaza Giga linasimama kama alama ya uongozi uliotukuka na utumishi uliotukuka.Akiwa amehudumu bungeni…