Taasisi ya Sisi Na Mama Organisation imetumia sikukuu ya kusherehekea Mwaka mpya wa 2026 kwa kufanya matendo ya Huruma kwa jamii kwa tutenbelea katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala na kutoa misaada na zawadi mbalimbali kwa watoto walio zaliwa hospitalini hapo pamoja na wamama wajawazito wanao subiri kujifungua.

Naye mwenyekiti wa Taasisi ya Sisi na Mama Organisation ndugu Alfan Hassan Kingama ametoa wito kwa taasisi mbalimbali na watu binafsi kujitikeza na kutoa misaada kwa wahitaji mbalimbali katika jamii.

#kilichoborakabisa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *