#HABARI: Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ametimiza umri wa miaka 96 ambapo ndugu na jamaa wamehudhuria hafla fupi ya kumpongeza iliyofanyika nyumbani kwake Mikocheni, jijini Dar es Salaam.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.