#HABARI: Zaidi ya wanafunzi 800 wanaotarajiwa kuanza masomo Januari 13 mwaka huu, katika Shule ya Msingi Tandau, iliyopo Kata ya Kongowe, wilayani Kibaha, mkoani Pwani, wanakabiliwa na changamoto kubwa ya uhaba wa matundu ya vyoo na madawati, hali inayosababisha adha kwa wanafunzi hao kwa kutumia matundu manne huku mahitaji halisi yakiwa ni matundu 27 ili kukidhi idadi ya wanafunzi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.