■Prof.Mohamed amesema, baraza limeidhinisha rasmi kutolewa kwa matokeo hayo ambapo upande wa usajili na mahudhurio jumla ya wanafunzi 1,583,686 walisajiliwa kufanya upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne wakiwemo wasichana 818,673 sawa na asilimia 52 na wavulana 706,513 sawa na asilimia 48.TAZAMA MATOKEO YOTE HAPA|
HomeBreaking News NECTA yatangaza matokeo ya Mtihani ya Darasa la Nne na Kidato cha Pili 2025, yatazame hapa NA GODFREY NNKOKATIBU Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA),Prof. Said A.Mohamed leo Januari 10,2026 ametangaza matokeo ya ya upimaji wa Kitaifa wa darasa la Nne ambao ulifanyika…