Baada ya timu ya taifa #Clouds360 siku kadhaa nyuma kuhoji juu ya hali ya ushindani na usimamizi wa ushindani pamoja na udhibiti wa ukiritimba nchini?
Habari zimefika mpaka kwa Tume ya Ushindani nchini FCC na kesho Clouds 360 itakuwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bi. Khadija Ngasongwa kunyoosha vyema ushindani nchini.
Usikoseeee! #Clouds26Nyoosha