#HABARI: Mwili wa Marehemu Mheshimiwa Halima Idd Nassor umefikishwa nyumbani kwake Kibada, Wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya dua maalumu ya nyumbani, kabla ya kuzikwa leo Januari 18, 2026, saa 10:00 jioni, katika Makaburi ya Kibada kwa Dole, Kigamboni, Dar es Salaam.

Mheshimiwa Halima Idd Nassor amefariki dunia leo Januari 18, 2026, katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es Salaam, alipokuwa akipatiwa matibabu.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amina.

Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎#Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *