#HABARI: Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) nchini Kenya, imesema inakabiliwa na uhaba wa zaidi ya shilingi Bilioni 22 zinazohitajika kwa ajili ya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027.
Tume hiyo imeonya kuwepo kwa changamoto za kisheria ambazo zinaweza kuathiri kwa kiasi kikubwa maandalizi ya uchaguzi huo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania