#HABARI: Wakati Mkutano wa Bunge ukiendelea Mbunge wa Kisarawe kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Selemani Jafo akichangia hoja kuhusu hotuba ya ufunguzi wa bunge iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempongeza Rais Samia kwa kazi kubwa aliyoifanya ikiwemo utekelezaji wa miradi mikubwa ya Nishati ya umeme.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.