Vita nchini Sudan: Jeshi ladai kurejea katika eneo la Kordofan
Nchini Sudan, mapigano makali yamekuwa yakiendelea kwa siku kadhaa kati ya jeshi la serikali na wanamgambo wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) katika majimbo matatu ya Kordofan: Kordofan Kaskazini,…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUKWA – JANUARI 02, 2026
🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUKWA - JANUARI 02, 2026
Mechi za uamuzi Mapinduzi Cup 2026
LEO Jumamosi kuna mechi mbili za Kombe la Mapinduzi 2026 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja ambazo zimebeba matokeo ya kuamua jambo baina ya timu zinazokwenda kukutana.
Wananchi wamvaa mbunge ubovu wa barabara, wataka ufumbuzi Mbeya Vijijini
Wananchi wa kata za Itewe, Igoma na Ulenje, Wilaya ya Mbeya Vijijini, wamemwomba Mbunge wao...
Madagascar: ‘Sasa si wakati wa chuki au kulipiza kisasi,’ asema Andry Rajoelina
Aliyekuwa rais wa Madagascar aliyeondolewa mamlakani, Andry Rajoelina, amezungumza kwa mara ya kwanza tangu alipopinduliwa kama rais wa Madagascar katikati ya mwezi Oktoba. “Kutokana na vitisho, mivutano, na mgawanyiko, ni…
CAR: Mapigano yapamba moto kati ya jeshi na wanamgambo wa AAKG kusini mashariki mwa nchi
Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, wakati matokeo ya sehemu ya uchaguzi mkuu wa Desemba 28, 2025 yakianza kutangazwa, mapigano yamezuka kusini mashariki mwa nchi kati ya wanamgambo wa AAKG…
Wakazi wa mkoa wa njombe wamesherekea mwaka mpya na siku ya vikasha kwa kupanda miti katika kijiji cha Lusitu, ikiwa ni jitihada…
Wakazi wa mkoa wa njombe wamesherekea mwaka mpya na siku ya vikasha kwa kupanda miti katika kijiji cha Lusitu, ikiwa ni jitihada za kukabiliana na uharibifu wa mazingira. Zoezi hilo…
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Mlimba, Jamary Abdul amewataka vijana kote nchini kujiunga na mafunzo ya ufundi sta…
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Mlimba, Jamary Abdul amewataka vijana kote nchini kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi. Jamary amesema hayo huo leo Januari 2, 2026 alipotembelea banda la…
Mbotoni na Pazi, jela miaka 20 kila mmoja kwa kukutwa na vipande vya meno ya tembo
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewahukumu wafanyabiashara wawili Mohamed Mbotoni (47) na...
Upelelezi kesi ya kusafirisha vinyonga mbioni kukamilika
Upelelezi wa kesi ya kusafirisha vinyonga 164, mijusi 20 na nyoka sita, inayomkabili mshtakiwa...
Nigeria yaanza kutekeleza mfumo mpya wa kukusanya kodi
Nigeria imeanza kutekeleza mfumo mpya wa kukusanya kodi, ambao serikali inasema, itaongeza kiwango cha kodi na kupunguza ugumu wa kiuchumi kwa raia wa kawaida, hasa wanaojihusisha na biashara ndogo ndogo.…
DRC: Visa vya unyanyasaji wa kingono dhidi ya watoto viliongezeka 2025
Visa vya unyanyasaji wa kingono dhidi ya watoto viliongezeka kwa kiasi kikubwa, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwaka 2025, kwa mujibu wa ripoti inayoshughulikia masuala ya watoto UNICEF. Imechapishwa:…
TaSUBa artists paint Indo-Tanzania cultural ties
BAGAMOYO: BAGAMOYO College of Arts and Culture (TaSUBa), in collaboration with the Indian High Commission, has concluded a painting competition that involved 20 participants, aimed at strengthening cultural ties between…
Tanzania installs lightning protection systems in Geita schools
GEITA: THE Tanzanian government has completed the installation of lightning protection systems in 12 schools in Bukombe District, Geita Region, as part of efforts to protect citizens and students from…
#HABARI: Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Ruvuma, Mhe
#HABARI: Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Ruvuma, Mhe. Happines Ngwando, amesheherekea sikukuu ya mwaka mpya kwa kula chakula cha pamoja na kutoa misaada mbalimbali, kwa watoto wenye mazingira magumu…
Othman ataka Taifa lijengwe juu ya haki, Katiba 2026
Mwenyekiti wa Taifa wa ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman, ametumia salamu za Mwaka Mpya 2026...
Sheikh Mayunga, mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu Afrika Mashariki ameaga dunia
Jamii ya Kiislamu Afrika Mashariki na hasa nchini Tanzania imekumbwa msiba mkubwa kufuatia kufariki dunia kwa mwanazuoni mashuhuri, na mfasiri wa Qur'ani Tukufu, Sheikh Ali Jumaa Mayunga, aliyefariki dunia leo…
Miili sita ajali ya Moro kutambuliwa kwa DNA
Siku tatu tangu kutokea ajali iliyoua watu 10 mkoani Morogoro, ni miili minne pekee...
Dr Mwinyi graces the construction of the Uzi Ng’ambwa Bridge with a call for unity
ZANZIBAR: THE President of Zanzibar and Chairman of the Revolutionary Council, Dr Hussein Ali Mwinyi, has urged citizens to work closely with the government to ensure that development plans and…
Tanzania, India seek proper measures to manage people’s immigration
DAR ES SALAAM: TANZANIA, and India have affirmed their intent to enhance and deepen ties in managing foreign nationals and people’s migration. This was verified today, January 2, 2025, during…
Serikali yaanika mikakati kudhibiti radi Bukombe
GEITA: SERIKALI imekamilisha kufunga mifumo ya kunasa radi katika shule 12 zilizopo wilayani Bukombe mkoani Geita ikiwa ni sehemu ya kuwalinda wananchi pamoja na wanafunzi dhidi ya ajali za radi.…
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Adui anatamani kuyageuza matatizo ya kiuchumi kuwa mgogoro wa kiusalama
Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema maadui wa Iran wanajaribu kutumia matatizo ya kiuchumi ili kuibua mzozo wa kiusalama.
Mwinyi asisitiza ushirikiano utekelezaji miradi ya maendeleo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza Wananchi kushirikiana na Serikali ili kuhakikisha mipango na miradi ya maendeleo inatekelezwa na kukamilika kwa wakati…
Mwanajeshi wa Marekani aliyedaiwa kukamatwa na mabomu kitendawili
Zikiwa zimepita siku 46 tangu Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya mkoani Mara...
Benki ya CRDB imemkabidhi Deo Ferdinand Mlawa na wenzake watano zawadi walizojishindia katika droo kubwa ya kampeni hiyo
Benki ya CRDB imemkabidhi Deo Ferdinand Mlawa na wenzake watano zawadi walizojishindia katika droo kubwa ya kampeni hiyo. Mlawa wa Mikocheni Dar es Salaam alitangazwa mshindi wa jumla wa kampeni…
PM orders a timely completion of the Kidunda Dam
MOROGORO: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has today, January 2, 2026, inspected the progress of the construction of the Kidunda Water Dam located in Morogoro Region, as part of the government’s…
Daraja linalopita baharini lafufua matumaini ya kumaliza adha ya usafiri visiwa vidogo Zanzibar
Uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Daraja la Uzi–Ng’ambwa pamoja na barabara zake umeibua...
Wananchi Arusha wahimizwa usafi
ARUSHA: WANANCHI na wafanyabiashara jijini Arusha wamesisitizwa kuimarisha usafi kwenye maeneo yao ili kujikinga na magonjwa mbalimbali. Aidha, makandarasi waliopewa zabuni za kukusanya taka wameagizwa kuhakikisha magari yao yanakuwa safi…
Sintofahamu maziko ya Lungu akitimiza miezi sita tangu afariki
Ikiwa imepita miezi sita tangu alipofariki dunia, Rais mstaafu wa Zambia, Edgar Lungu, bado...
Kitendawili cha Dida, Sululu kusalia Geita
KIPA namba moja wa Geita Gold iliyopo Ligi ya Championship, Deogratius Munishi ‘Dida’ na beki Fredy Juma Sululu waliosimamishwa ghafla mara baada ya timu hiyo kutoka sare ya 2-2 na…
Onyo kuhusu matokeo mabaya ya vitisho vya Marekani dhidi ya mpango wa nyuklia wa amani wa Iran
Tehran imeonya kuhusu matokeo mabaya ya vitisho vya hivi karibuni vya Marekani dhidi ya mpango wa nyuklia wa amani wa Iran.
Mambo matano kufukuzwa Maresca
Enzo Maresca ameondoka Chelsea baada ya matukio matano muhimu kusababisha kuvunjika kwa...
Wasaudia wajiondoa kwa Salah
Staa wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri, Mohamed Salah ataendelea kubaki Liverpool hata...
TMA warns Tanzanian regions of oncoming rains, severe thunderstorms
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Meteorological Authority (TMA) has issued a warning of rainfall and thunderstorms expected in various parts of the country from January 1 to 10, 2026. According…
Somalia kuongoza Baraza la Usalama Januari 2026
Mwezi huu wa Januari 2026 kiti chau rais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kinaelekezwa kwa Somalia, taifa lililo pembe ya Afrika.
Sitisho la NGOs za kimataifa Gaza litaleta changamoto kubwa – Guterres
Hatua ya mamlaka za Israeli kusitisha operesheni za baadhi ya mashirika ya kimataifa yasiyo ya kiserikali, (NGOs) kwenye eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israeli imemtia wasiwasi mkubwa Katibu Mkuu…
Israel ifutulie mbali mapendekezo ya rasimu ya adhabu ya kifo kwa wapalestina – Türk
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, leo hii, huko Geneva Uswisi, ametoa wito wa kufutwa kwa mapendekezo ya sheria ya kuanzishwa kwa adhabu ya…
Mpango wa UNFPA Kenya wasaidia wasichana kuepuka mimba za utotoni na kuboresha afya zao
Nchini Kenya, shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ya Uzazi na Idadi ya watu, UNFP limechukua hatua kukabiliana na changamoto ya mimba za utotoni zinazochochewa na vikwazo vya kijamii…
UNICEF watoa mafunzo ya kupika vyakula bora vyenye lishe kwa ajili ya watoto
Nchini Zambia, mafunzo ya mapishi yanayotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya watoto, UNICEF, kwa wanawake yamefanikiwa kubadilisha namna familia zinavyowalisha watoto wao, kwa kutumia vyakula…
Japan yaitikia wito wa WFP wa kusaidia wakimbizi Burundi
Kilio cha wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC cha kupatiwa msaada ukiwemo wa chakula kimeitikiwa na Japani, moja ya mdau wa shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango…
DC Maswa awaonya vavamizi wa maeneo ya Serikali
Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Dk Vicent Anney, amewaonya watu wote waliovamia maeneo ya taasisi za...
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Kahama Bw
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Kahama Bw. Frank Nkinda amewataka wazazi na walezi kuhakikisha wanaweka mkazo watoto wao kwenda shule, akidai kuwa Kahama imekuwa na changamoto kubwa ya Mdondoko wa…
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Frank Nkinda, amesema wilaya hiyo inakabiliwa na changamoto kubwa ya wanafunzi wa elimu ya awali, msin…
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Frank Nkinda, amesema wilaya hiyo inakabiliwa na changamoto kubwa ya wanafunzi wa elimu ya awali, msingi na sekondari kushindwa kukamilisha masomo yao, hali inayodhoofisha maendeleo…
Mmmh hawa wake za watoto wa Bey bado kunatimka 🙌🏽 Usikose kutazama uhondo wote saa 4:00 usiku ndani ya #AzamTWO
Mmmh hawa wake za watoto wa Bey bado kunatimka 🙌🏽 Usikose kutazama uhondo wote saa 4:00 usiku ndani ya #AzamTWO
Mlandege yaivaa Azam bila kupiga tizi
JANA Ijumaa, ilipigwa mechi moja ya Kombe la Mapinduzi 2026 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja mabingwa watetezi Mlandege dhidi ya Azam, lakini kuna kitu kilitokea kabla ya mechi…
Kuanzia mwanzo wa mwaka mpya wa 2026, wakazi wa Mkoa wa Singida wameendelea kujitokeza kwa wingi kupata huduma katika mgodi wa A…
Kuanzia mwanzo wa mwaka mpya wa 2026, wakazi wa Mkoa wa Singida wameendelea kujitokeza kwa wingi kupata huduma katika mgodi wa Azam TV, wakitumia fursa ya ofa mbalimbali zinazotolewa pamoja…
Wasafiri na wasafirishaji wanaotumia barabara ya Mtwara–Newala–Masasi yenye urefu wa takribani kilomita 160, wameeleza kero zao …
Wasafiri na wasafirishaji wanaotumia barabara ya Mtwara–Newala–Masasi yenye urefu wa takribani kilomita 160, wameeleza kero zao kuhusu changamoto zinazojitokeza wakati wa ujenzi wa barabara hiyo kwa kiwango cha lami. Wananchi…
Usikose kutazama The Price leo saa 3:00 usiku kupitia #AzamTWO chaneli namba 102 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV
Usikose kutazama The Price leo saa 3:00 usiku kupitia #AzamTWO chaneli namba 102 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV
TaSUBa, Ubalozi wa India wawaibua ‘wakali’ sanaa ya uchoraji
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) kwa kushirikiana na ubalozi wa India...