Leo Usiku kwenye #DIBAJI ni uchambuzi wa tamthiliya ya #PichaYangu, Chaichaka kufahamu ukweli kuhusu baba yake halisi, kwenye #ThePrice nako kunazidi kupamba moto Bi Somaya anamuendesha Zein katika uhusiano wake na Sara…

Ni kuanzia saa 12:00 jioni kupitia #UTV

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *