Mapigano mapya yameripotiwa siku ya Jumatatu asubuhi, Februari 2, wakati huu huko Niger, ambapo wanajihadi kutoka kud la Islamic State kanda ya Sahel (ISS) walishambulia kambi ya kikosi ch walinzi wa taifa huko Ayorou. Hakuna hesabu rasmi ya majeruhi kwa wakati huu.

Imechapishwa:

Dakika 1 Wakati wa kusoma

Matangazo ya kibiashara

Vyanzo vya usalama vinaripoti angalau wanajeshi watatu waliuawa na magari matatu ya jeshi kuchukuliwa. Baada ya kuivamia kambi hiyo, washambuliaji walirudi wakielekea kaskazini kwenye mpaka wa karibu.

Habari zaidi zinakujia…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *