Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa Ahadi hiyo leo Februari 24, 2026, wakati akizindua jengo la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa katika eneo la Kikombo, jijini Dodoma, ambapo ujenzi wa awamu ya kwanza ya mradi huo imekamilika kwa gharama ya takribani shilingi bilioni 121, fedha zilizotolewa na serikali.
#kilichoborakabisa
(Feed generated with FetchRSS)