Tume ya Kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyojiri wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa October 29, 2026, imekutana na aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya (@general_sabaya05) leo February 24,2026
ikiwa ni sehemu ya juhudi za Tume kukusanya taarifa, maoni na ushauri kutoka kwa Watu mbalimbali wakiwemo Viongozi wa sasa na wastaafu.

Mahojiano kati ya Tume hiyo na Sabaya yamefanyika ofisi za Tume hiyo zilizopo Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Jijini Dar es salaam.

Katika mkutano huo yamejadiliwa kwa kina namna matukio ya uvunjifu wa amani yalivyoanza, athari zake kwa Wananchi, mali zao na miundombinu, pamoja na ushauri na mapendekezo ya namna ya kudhibiti na kuzuia matukio kama hayo yasijirudie siku zijazo.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *