Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Ruvuma imefanikiwa kudhibiti na kurejesha shilingi milioni 10 za makusanyo ya fedha za ushuru kwa njia ya POS katika Halmashauri ya wilaya ya Tunduru ambazo zilikuwa mbichi na hazikuwekwa kwenye akaunta.

Akizungumza na waandishi wa Habari naibu mkuu wa Takukuru mkoa Arterio Kawonga amesema katika uchambuzi wamebaini wakusanya ushuru wamekuwa hawalipwi stahiki zao kwa wakati jambao ambalo linawashawishi kuiba fedha pamoja na changamoto ya mtandao kwa baadhi ya maeneo ya makusanyo.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *