Mwenyekiti wa tume huru ya Taifa ya uchaguzi Jaji mstafu Jacob’s Mwambegele ameridhishwa na hali ya upigaji kura katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Peramiho leo 26.02.2026.
Akitembelea baadhi ya vituo vya kupigia kura Mwambegele amesema hakuna changamoto wala malalamiko yaliyojitokeza katika zoezi la upigaji kura.
(Feed generated with FetchRSS)