Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ameziagiza Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) na Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) kuwa na mkakati wa kuwawezesha wakulima kuanzia uzalishaji ukusanyaji hadi uuzaji mazao ili kuleta tija na bei nzuri ya Mazao.
(Feed generated with FetchRSS)