CAFCL: Mashabiki Yanga wauchambua mchezo wao Jumamosi dhidi ya AS FAR kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL)
CAFCL: Mashabiki Yanga wauchambua mchezo wao Jumamosi dhidi ya AS FAR kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL). Mechi itakuwa saa 4:00 kwa saa za Tanzania. #Yanga #CAFCL