Mjakazi Kutoka Uganda akikiri kumuua bosi wake raia wa Syria ambaye ni mwigizaji mkongwe
Mjakazi raia wa Uganda, Vicky Ajok, anadaiwa kukiri kumuua mwigizaji wa Kisiria Huda Shaarawi. Mwigizaji huyo alipatikana amefariki dunia huko Damascus.
Mjakazi raia wa Uganda, Vicky Ajok, anadaiwa kukiri kumuua mwigizaji wa Kisiria Huda Shaarawi. Mwigizaji huyo alipatikana amefariki dunia huko Damascus.
Saif al-Islam Gaddafi, mtotoa mdogo wa Muammar al-Gaddafi na mgombea katika uchaguzi wa rais wa 2021, ambao hatimaye haukufanyika, ameuawa nyumbani kwake Zintan, jiji lililoko kaskazini magharibi mwa Libya, siku…
ODM kilichukua hatua ya kubadilisha uongozi wake mkuu, na kuzua wasiwasi wa ndani kuhusu utaratibu, uhalali na umoja wa chama kabla ya maamuzi muhimu ya kisiasa.
Soma zaidi hapa...
Mapitio ya #MAGAZETI leo Februari 4, 2026 kwenye #Moorning Trumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Saif al-Islam Gaddafi, mmoja wa watoto wa kiongozi wa zamani wa Libya, Muammar Gaddafi, ambaye kwa muda mrefu alichukuliwa kuwa mrithi wake na alikuwa akitafutwa na Mahakama ya Kimataifa ya…
NHK WORLD-JAPAN ni huduma ya kimataifa ya shirika la umma la utangazaji la Japani, NHK. Linatoa taarifa za hivi karibuni kuhusu Japani na bara la Asia kupitia televisheni, redio na…
Watch NHK WORLD-JAPAN on your Roku. NHK WORLD-JAPAN is the English-language international broadcasting service of NHK, Japan's only public broadcaster. This app provides you with news and a variety of…
Habari na huduma za mahitajiko kutoka nchini Japani.
Download NHK WORLD-JAPAN by NHK (Japan Broadcasting Corporation) on the App Store. See screenshots, ratings and reviews, user tips, and more games like NHK…
Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, amesema kufuzu kwa timu yake kwenye fainali ya Kombe la EFL...
Juzi, nilishangaa nusura nife. Si kuna eti utafiti uliofanywa kubaini kwanini umeme unatumika...
Waislamu wa madhehebu ya Shia katiika maeneo mbalimbali ya dunia Leo Jumatano mwezi 15 Shaaban wanaadhimisha kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Imam wa Zama, Imam Mahdi AS, Imam wa 12…
Binadamu wanavutiwa sana na vitu vilivyo tofauti. Kama nguo nzima ikiwa nyeupe lakini ikapata...
Utafiti mmoja uliofanyika katika hospitali moja nchini Marekani mwaka 2023 ulibaini kuwa watu waliolala kwa dakika 90 za ziada kwa siku, kwa siku tatu kabla ya kuanza zamu za usiku…
Kwenye mfumo wa uendeshaji wa Serikali, uwajibikaji ni muhimu kwa sababu unalenga kuleta...
Mashaka, wasiwasi na woga ndio mtindo mpya wa maisha ya Watanzania wanaoishi nchini Marekani...
Iran na Marekani zimethibitisha rasmi kwenda kwenye mazungumzo yanayolenga kuepusha makabiliano ya moja kwa moja kati yao, lakini bado Rais Donald Trump hajaondosha uwezekano wa hatua za kijeshi dhidi ya…
Liverpool yaungana na Manchester United na Real Madrid kumfukuzia Adam Wharton, Manchester United huenda ikawasajili Jean-Philippe Mateta na Sandro Tonali, na je, mlinda lango wa Leeds Illan Meslier analekea Uturuki?
Marekani imerejesha fedha za mauzo ya mwanzo ya mafuta ya Venezuela, ikiwa ni sehemu ya makubaliano baina ya Caracas na Washington yaliyofikiwa mwezi uliopita, baada ya kupinduliwa na kutekwa Rais…
Mamlaka nchini Ugiriki zinasema watu 15 wamekufa kufuatia ajali ya kugongana kwa mashua ya walinzi wa pwani ya Ugiriki na ile ya wahamiaji kando ya ufukwe wa Kisiwa cha Chios…
Saif al-Islam Gaddafi, mtoto wa kiume wa aliyekuwa kiongozi wa Libya, Muammar Gaddafi, ameuawa kupitia kile ofisi yake ilichosema ni "tendo la kihalifu na la woga" katika mji wa magharibi…
Rais Donald Trump wa Marekani amesaini sheria ya kuongeza muda wa programu ya biashara yenye masharti nafuu kati ya nchi yake na Afrika hadi tarehe 31 Disemba mwaka huu.
Timu ya kisiasa ya Saif al-Islam Gaddafi, mtoto wa kiume wa kiongozi wa zamani wa Libya, Muammar Gaddafi, imefichua kwamba mauaji yake yamefanywa na watu wanne wasiojulikana waliokuwa na silaha,…
Iran imezindua rasmi mafanikio matatu ya kimkakati ya ndani ya nchi katika sekta za miundombinu ya anga, mawasiliano na picha za satelaiti katika kuadhimisha Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imewaita mabalozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) kuwasilisha malalamiko yake dhidi ya azimio la hivi karibuni la EU linalolenga Jeshi…
Katika hatua isiyo ya kawaida, mahakama ya kijeshi nchini Brazil imetangaza azma ya kuanzisha uchunguzi utakaomua endapo itapaswa kumvua hadhi ya kijeshi rais wa zamani wa nchi hiyo, Jair Bolsonaro.
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed, amesema kuwa nchi hiyo haikupokea “hata senti moja” kutoka kwa serikali yoyote ya kigeni kwa ajili ya kufadhili ujenzi wa Bwawa Kuu la Renaissance…
Jeshi la Sudan limevunja mzingiro uliowekwa na waasi dhidi ya mji muhimu wa Kusini, Kadugli, Jumanne. Hayo yametangazwa na Rais wa mpito na Mkuu wa Jeshi la Sudan, Jenerali Abdel…
Mwanzoni mwa karne ya 20, umuhimu wa Iran uliongezeka kwa kugunduliwa kwa mafuta. Na bila shaka, hapo ndipo matatizo pia yalipoanza.
Ndege ya kivita ya F-35C imedungua ndege isiyo na rubani ya Iran "ili kujilinda" na kulinda meli ya kubeba ndege na wafanyakazi wake.
Maelezo yaliyotolewa na maafisa wa Palestina na wa Umoja wa Mataifa yanaonyesha kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unakataa kutekeleza awamu ya pili ya makubaliano ya kusitisha mapigano huko Ghaza.
Leo ni Jumatano tarehe 15 Sha'ban 1447 Hijria sawa na 04 Februari 2026.
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
#SerieA Wameua ugenini...!!! FT: Bologna 0-3 Milan (Loftus-Cheek 20', Nkunku 39'p, Rabiot 48') #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #BolognaMilan
#DFBPokal Leverkusen wanatangulia nusu fainali kwa kishindo.... FT: Leverkusen 3-0 St. Pauli Robo fainali nyingine ni kesho Feb 4, LIVE #AzamSports2HD #GermanyCup #BayerLeverkusen #StPauli
70' | #CarabaoCup Arsenal 0-0 Chelsea (Agg: 3-2). Iko LIVE #AzamSports1HD #EFL #ArsenalChelsea
80' | #DFBPokal Leverkusen 2-0 St. Pauli LIVE #AzamSports2HD #GermanyCup #BayerLeverkusen #StPauli
Hakuna maelezo zaidi kuhusu kifo cha Gaddafi hadi sasa.
Neno ni moja tu leo, USALITI 😥 (Feed generated with FetchRSS)
Askari wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Kutuliza Ghasia, Kabongo Mkiramweni ambaye siku za karibuni alipewa usafiri na jeshi ilo kufuatia kupata ulemavu wa kudumu akiwa kazini kutokana na kupata…
#CarabaoCup KICK-OFF.. Goma limeanza, na hawa ndiyo waamuzi wanaoisimamia... Arsenal 0-0 Chelsea (Agg: 3-2). Iko LIVE #AzamSports1HD #EFL #ArsenalChelsea
Umesikia hii ya @laughs_on_leonardo baba harusi mtarajiwa anakuambia mtu mwenye hela nyingi na hofu ya mungu ni watu wawili tofauti 😅😅🙌 (Feed generated with FetchRSS)
Matumizi ya zana duni za kilimo imetajwa kuwa miongoni sababu zinazowaweka mbali vijana kujihusisha na kilimo katika mataifa mengi ya Afrika ikiwemo Tanzania. Hayo yamebainishwa katika Mkutano wa Kikanda wa…
Huyu hapa @laughs_on_leonardo na alichokifanya kwenye usiku wa tuzo za utalii za Serengeti wikiendi iliyopita jijini Arusha 😅😅🙌 (Feed generated with FetchRSS)
Wafanyabiashara wa soko la Mkuyuni lililopo wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza wamelalamikia ugumu wa biashara katika soko hilo kufuatia kufungwa kwa barabara ya Mwanza - Shinyanga kwa zaidi ya mwaka…
CAFCL: Nyota wa zamani wa Simba SC, Duwa Said anasema vijana hao wa Msimbazi hawatocheza kama walivyocheza kwenye mchezo wa kwanza dhidi ya Petro Atletico katika dimba la Benjamin Mkapa.…
CAFCC: “Tunarudi Zanzibar kwenda kukabiliana na CR Belouizdad” Afisa Habari wa Singida BS, Hussein Massanza anasema mechi yao dhidi ya CR Belouizdad ni mchezo wa kisasi kutokana na matokeo waliyoyapata…
IEBC ilithibitisha kuondoka kwa Afisa Mkuu Mtendaji wake Marjan Hussein Marjan kwa ridhaa ya pande zote, na baadaye ikatangaza mipango ya muda kuhusu 2027.