Mahakama ya Hong Kong yafanya kikao cha kwanza kuhusu wizi wa pesa taslimu wa yeni milioni 51
Mahakama ya Hong Kong imefanya kikao chake cha kwanza kuhusu wizi wa barabarani wa zaidi ya yeni milioni 50, au takriban dola za Marekani 330,000, unaowahusisha raia wa Japani.