Mbunge mstaafu, Munde Tambwe amefariki dunia baada ya kuugua kwa mrefu
Mbunge mstaafu, Munde Tambwe amefariki dunia baada ya kuugua kwa mrefu. Tambwe ambaye alikuwa mbunge wa viti maalum kupitia Mkoa wa Tabora katika Bunge lililopita chini ya Spika Dkt Tulia…