Ni zamu ya vigogo CCM kufyekwa
Fumua fumua ya uongozi au watendaji wa sekretarieti ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na viongozi...
Fumua fumua ya uongozi au watendaji wa sekretarieti ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na viongozi...
Klabu ya Atalanta imeandika historia kwa kuibwaga Borussia Dortmund na kufuzu hatua ya 16 bora...
#HABARI: Rais William Ruto amewakemea viongozi wa Upinzani wa Muungano nchini Kenya kwa kile ambacho anadai wanaendelea kupinga miradi na sera zake anazosema zinalega mageuzi muhimu Kenya. Usemi wa Ruto…
HOSPITALI nchini Kenya zinakabiliwa na ongezeko la mzigo wa magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza hali inayoongeza changamoto katika utoaji wa huduma za afya. Katika hospitali za umma, watoto…
Iran na Marekani zinakutana leo Alhamisi, Februari 26, kwa ajili ya duru ya tatu ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja nchini Uswisi, yenye lengo la kuvunja mkwamo wa sasa…
"MSD jukumu lake ni kufikisha dawa kituo cha afya, yeye hafanyi ile kazi ya kutoa dawa,..."-Bw. HassanAlly -Mkurugenzi wa Ugavi na Uendeshaji kutoka MSD. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI…
NINI kimeikuta Mtibwa Sugar? Ni swali unaloweza kujiuliza kufuatia timu hiyo kupoteza mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu Bara chini ya Kocha Yusuf Chipo.
ARUSHA: AT a defining moment in Tanzania’s development journey, more than 200 senior corporate and public sector leaders are set to gather in Arusha for the Minority Interest Forum 2026…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ghana, Samuel Okudzeto Ablakwa, ametoa wito kwa Ukraine siku ya Jumatano wa kuwaachilia huru wafungwa wawili wa kivita wa Ghana waliopigana dhidi ya vikosi…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesema kwamba mafanikio ya mazungumzo yatategemea upande wa pili kuyachukuliwa kwa uzito na kujiepusha na tabia…
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo,...
Iran imepinga vikali madai mapya ya Marekani kuhusu shughuli zake za nyuklia na makombora, pamoja na takwimu za waliouawa katika machafuko ya hivi karibuni, ikiyataja kuwa ni “msururu wa uongo…
Hii familia haishiwi lawama kwa Devran, Aziza anataka kutalikiana, Melis anawafuma aisee. Usikose kutazama tamthiliya ya 6 of Us ni leo tena saa 2:00 usiku ndani ya #AzamTWO pekee. (Feed…
Mureithi alikuwa amemaliza kazi yake katika kituo cha mafuta karibu na Athi River na kupanda gari mita chache kutoka Hospitali ya Shalom kuelekea Nairobi.
DAR ES SALAAM: TANZANIA’S ambition to become a one-trillion-dollar economy by 2050 will require bold fiscal reforms, stronger domestic revenue mobilisation and a more inclusive tax administration system. Under the…
Kocha wa Benfica, José Mourinho, aliyekuwa anatumikia adhabu ya kufungiwa kusimama benchi...
Mjumbe maalum mpya wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameteuliwa nchini Sudan. Tangazo hilo lilitolewa siku ya Jumatano. Raia huyo wa Finland, Pekka Haavisto, anamrithi Ramtane Lamamra…
Jacque Maribe alimuenzi marehemu baba kwa siku ambayo angekuwa anatimiza miaka 72 iwapo angekuw ahai, akitafakari kumbukumbu nzuri na mtoto wake aliyepewa jina lake
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Moi aliyeshinda kesi dhidi ya serikali amepata ushindi mwingine huku akifukuzia fidia ya KSh 200m kwa madai ya ukiukaji wa faragha.
Rais Donald Trump amesema Wawakilishi wa Marekani, Ilhan Omar na Rashida Tlaib wanapaswa kurudishwa "walikotoka" baada ya wabunge hao wawili wa chama cha Democratic katika Congress ya Marekani kupiga kelele…
DODOMA: THE Public Procurement Appeals Authority (PPAA) has blocked the award of 43 tenders worth more than 586bn/- after establishing that the bidders lacked the required financial and technical capacity,…
Licha ya msukosuko wa kimataifa na msuguano na Marekani, uchumi wa Afrika Kusini unaonyesha dalili za uboreshaji. Waziri wa Fedha amekaribisha hili siku ya Jumatano, Februari 25, 2026, wakati wa…
Hahahah Katanga kaingizwa mjini...Zora anacheza na akili ya Katanga. Usikose kutazama uhondo wa #ZoraSeries leo saa 1:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD Dah Kembo yanamkuta huku mke wake akimsaliti. (Feed generated…
#KUMEKUCHA: Suala la upatikanaji wa bidhaa za afya nchini, linasimamiwa na Wizara ya Afya nchini... MSD yeye ni mdau katika kuhakikisha kwamba huduma za afya bidhaa za afya zinapatikana, kwa…
Rais wa DRC Félix Tshisekedi amekutana na mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron, siku ya Jumatano, Februari 25, katika Ikulu ya Élysée. Chakula cha mchana cha kililenga uhusiano wa pande mbili,…
Familia iliomboleza msiba wa Salome, mama mchanga aliyeuawa katika ajali na kuaxcha watoto wawili huku wapendwa wake wakijitahidi kukabiliana na hali hiyo.
DAR ES SALAAM: TANZANIA has diverged sharply from its neighbours, with experts saying its low policy rate signals a deliberate growth-first strategy rather than regional monetary restraint. The country stands…
Kuchunguza kifo cha kutatanisha cha mvulana wa darasa la 8 katika Shule ya Moi Comprehensive huko Nkauru, huku wazazi wakitaka majibu ya haraka...
Utawala haramu wa Israel uliwaua wanahabari wasiopungua 84 mwaka wa 2025 - idadi kubwa zaidi kuliko dola lolote duniani katika mwaka uliokuwa mbaya zaidi kuwahi kurekodiwa kwa vyombo vya habari.
NTSA imetoa orodha ya makosa 37 ya trafiki yenye faini ya hadi KSh 10,000. Mfumo mpya wa utekelezaji otomatiki unalenga kuboresha usalama barabarani nchini Kenya.
Upande wa serikali unamshutumu rais mstaafu Uhuru Kenyatta kwa kufadhili upinzani kupinga azma ya Rais William Ruto kuchaguliwa tena katika Uchaguzi Mkuu wa 2027.
BUKOBA: KAGERA Regional Consultative Committee (RCC) members, yesterday approved a 9.2bn/- budget for the 2026/27 financial year. Presenting the budget, the Assistant Head of the Planning Department at the Regional…
Noura amefariki aisee, huzuni imetanda kwenye familia, Siham atampokea Obedi kweli? Usikose kutazama UMMY leo saa 1:00 usiku ndani ya #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
Watu wasiopungua 25 wameuawa huku nyumba kadhaa zikichomwa moto baada ya watu wenye silaha kushambulia vijiji viwili katika Jimbo la Adamawa, kaskazini mashariki mwa Nigeria usiku wa kuamkia jana.
Nchini DRC, mwezi mmoja baada ya kuondoka kwa waasi wa AFC-M23 kutoka Mji wa Uvira Kivu Kusini, makaburi ya halaiki yamegunduliwa wiki hii wakati huu ambapo familia nyingi hazina taarifa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine, Andrii Sybiha amedai kwamba, zaidi ya Waafrika 1,700 wanapigana kwa niaba ya Russia katika vita vyake dhidi ya Ukraine, na kuongeza kwamba Moscow…
Zaidi ya watu bilioni 1 duniani, ambao ni sawa na mtu mzima mmoja kati ya wanne, wanahofia kupoteza ardhi yao au makazi katika kipindi cha miaka mitano ijayo, ripoti mpya…
Ratiba za Ligi Kuu kwa Arsenal na Manchester City mwezi Machi zinaweza kuahirishwa kutokana na droo ya Ligi ya Mabingwa, ambayo imeathiri michuawano.
Juhudi za utoaji wa misaada ya kibinadamu kwa zaidi ya wakimbizi Milioni Moja nchini Sudan Kusini zinakabiliwa na tishio kutokana na uhaba wa ufadhili katika idara muhimu zinazohusika na misaada…
Tume ya kutoa msamaha nchini Uganda, imetoa ahueni kwa waasi wa zamani zaidi ya Elfu 28 na 340 tangu mwaka 2000, mwenyekiti wake akitoa wito kwa wale ambao bado hawajarejea…
Mapigano makali yameripotiwa kati ya wapiganaji Wazalendo, wanaoshirikiana na jeshi la Congo, na waasi wa kundi la M23/AFC katika maeneo ya Masisi mkowa wa Kivu kaskazini na Kalehe mkowani Kivu…
Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amemuonya Rais wa Marekani Donald Trump dhidi ya kufanya maamuzi yanayotegemea taarifa zisizo sahihi, akisisitiza kuwa Iran haijawahi kutafuta, haitafuti, wala haitawahi…
Shirika moja la haki za kisheria limebaini kile lilichokitaja kuwa “juhudi za kimfumo” za kukandamiza harakati za mshikamano na Palestina nchini Uingereza, likirekodi karibu matukio 1,000 katika kipindi cha miaka…
"Ni mateso tu, kila siku, bila hisia zozote usoni mwao. Ni kama wazimu," alisema Dima akiwaonyesha waliomtesa.
Wizara ya Afya ya Tanzania imetoa tahadhari ya afya kwa umma ya kuongezeka kwa maambukizi ya mafua na Uviko-19 na kuongezeka kwa hatari ya homa ya dengue, huku ikiwataka wananchi…
Putin kwa muda mrefu amekuwa akitaka kumuondoa rais wa Ukraine anayeegemea upande wa magharibi, na Zelensky amekuwa akilengwa tangu kuanza kwa vita hivyo.
Shirika lisilo la Kiserikali (NGO) Marekani National Endowment for Democracy (NED), ambalo lilianzishwa na shirika kuu la kijasusi nchini humo, CIA, limekiri kuwa lilitumia takriban vifaa 200 vya Starlink nchini…
Kampuni ya NDC Energie ya Mali imenunua takriban vituo 80 vya mafuta nchini Mali ambavyo awali vilikuwa vinaendeshwa na shirika la Ufaransa la TotalEnergies.
Mohamed Salah angefurahi kusalia Liverpool hadi 2027, vilabu sita vya Premier League vinamtaka Nnamdi Collins wa Eintracht Frankfurt, huku Casemiro akitaka kuendelea kucheza Ulaya.