Mgongano wa wazi ndani ya Washington; kuanzia tuhuma hadi uthibitisho kwamba mpango wa nyuklia wa Iran ni wa amani
Rais wa Marekani Donald Trump amekoleza maradufu moto wa kampeni yake ya kueneza sumu dhidi ya Iran kwa kurudia tena tuhuma hewa za kila mara kuhusu mpango wa nyuklia wa…