Mvutano kati ya Marekani na Iran: Ndege 12 za kivita za Marekani za F-22 Raptor zatua Israel
Mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Marekani na Iran yamepangwa kuanza tena siku ya Alhamisi, Februari 26, mjini Geneva. Pande zote mbili zinasema zinatoa kipaumbele njia za kidiplomasia,…