Wanamgambo wanaoiunga mkono serikali: Tumewauwa wapiganaji 50 wa M23 mashariki mwa Kongo
wanamgambo wanaoiunga mkono serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamedai kuwa wamewauwa wapiganaji 50 waliokuwa wanachama wa kundi la waasi wa M23 na kuwateka nyara kadhaa katika mapigano makali…