BNP kutangaza serikali mpya ya Bangladesh Jumapili, kuitaka India imrudishe Hasina
Chama cha Taifa cha Bangladesh (BNP) kimetangaza kuwa kitaunda serikali mpya ifikapo kesho Jumapili, baada ya kupata ushindi wa kishindo wa theluthi mbili ya viti vya Bunge katika uchaguzi wa…