Ujerumani: Makombora ya Iran yanatishia sio Israel pekee bali hata Ulaya
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema nchi yake imejitolea kupata suluhu la kidiplomasia kati ya Marekani na Iran kuhusu mipango ya nyuklia na makombora ya Tehran.
Watoto wa marais waliopitia masahibu baada ya wazazi wao kutoka Ikulu
Mwanafalsafa Aung San Suu Kyi alisema ''Si mamlaka yanayoharibu, bali ni hofu. Hofu ya kupoteza mamlaka huwaharibu wale wanaoyashikilia."
Viongozi wa dunia watoa salamu za pongezi kwa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Viongozi wa nchi mbalimbali wametuma jumbe kwa Rais wa Iran wakimpongeza kwa mnasaba wa Siku ya Taifa ya Iran na ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Tetesi za soka Ulaya: Bayern, Chelsea zinapigana vikumbo kwa Verbruggen
Bayern Munich na Chelsea zinamwania kipa Bart Verbruggen majira ya kiangazi, John Stones anaelekea kuondoka Manchester City mkataba wake utakapomalizika, huku Atletico Madrid wakipanga kumsajili Marc Cucurella.
Katika upeo wa unyama, Israel imetumia silaha ‘zilizoyeyusha’ maelfu ya Wapalestina Ghaza
Uchunguzi uliofanywa na televisheni ya Al Jazeera ya Qatar umefichua kuwa, utawala wa kizayuni wa Israel umetumia silaha zilizopigwa marufuku kimataifa zenye joto kupindukia katika vita vya mauaji ya kimbari…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia atahadharisha kuhusu unyonyaji wa madola ya kigeni, ahimiza umoja wa Afrika
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia ametoa wito wa kuwepo Afrika yenye nguvu na mshikamano zaidi ili kulilinda bara hilo dhidi ya 'hatua za unyanyasaji' na ukandamizaji za pande…
Balozi wa Marekani katika NATO: Nchi za Ulaya wanachama wa NATO ni ‘watoto wadogo’
Balozi wa Marekani katika shirika la kijeshi la NATO Matthew Whitaker amewafananisha na watoto wanachama wa kambi ya Ulaya katika shirika hilo, ambao amesema ni lazima hatimaye waache kuwa chini…
Alkhamisi, tarehe 12 Februari, 2026
Leo ni Alkhamisi tarehe 23 Sha'ban 1447 Hijria sawa na Februari 12 mwaka 2026.
Kimbunga Gezani chaikumba Madagascar, chaua 20 na kujeruhi 33
Kimbunga cha Tropiki cha Gezani kimepiga mji wa bandari wa Toamasina ulioko kwenye pwani ya mashariki mwa Madagascar, na kuua watu wasiopungua 20 na kujeruhi wengine 33 katika jiji hilo…
Kashfa ya Epstein ilivyofichua mmomonyoko wa kimaadili katika nchi za Magharibi
Wimbi la kujiuzulu linaloshuhudiwa huko Downing Street, kuanzia mkuu wa wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wa Uingereza hadi mkurugenzi wake wa mawasiliano, ni ishara za nje za mgogoro mkubwa…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 12, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
Zoezi la uandikishaji wa bima ya afya kwa wote kwa kaya masikini limeanza rasmi katika kata ya Genge Halmashauri ya wilaya ya Mu…
Zoezi la uandikishaji wa bima ya afya kwa wote kwa kaya masikini limeanza rasmi katika kata ya Genge Halmashauri ya wilaya ya Muheza Mkoani Tanga, likiongozwa na Mkuu wa Wilaya…
Osman Bey 🙌
Osman Bey 🙌 (Feed generated with FetchRSS)
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 11, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 11, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe
#HABARI: Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile, amewahimiza wafanyabiashara nchini kuitumia Bandari ya Mtwara kutokana na fursa kubwa iliyonayo ikilinganishwa na Bandari ya Dar es Salaam. Akiwa katika ziara…
People’s Renaissance Movement: Maelezo kuhusu chama kipya kinachohusishwa na Edwin Sifuna
Edwin Sifuna amevuliwa madaraka ya Katibu mkuu wa ODM. Kufuatia hatua hiyo, macho yote sasa yanaelekezwa chama kipya cha People’s Renaissance Movement.
Edwin Sifuna avuliwa kofia ya Katibu Mkuu ODM kwa kudaiwa kuwa na mkorofi: “Mara moja”
Kikao cha Kamati Kuu ya Kitaifa ya ODM kiliazimia kumuondoa Edwin Sifuna katika wadhifa wa katibu mkuu wa chama. Sifuna anatuhumiwa kuwa mkorofi.
Teddy ni kama alijipeleka 😅 Huyu Zora wampumzishe na matatizo yao jamani 🥹
Teddy ni kama alijipeleka 😅 Huyu Zora wampumzishe na matatizo yao jamani 🥹 #ZoraSeries (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Vilio vya furaha vimetawala katika ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Singida huku baadhi ya wananchi wakipoteza fahamu kwa his…
#HABARI: Vilio vya furaha vimetawala katika ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Singida huku baadhi ya wananchi wakipoteza fahamu kwa hisia, kufuatia kutatuliwa kwa kero sugu za dhuluma ya nyumba,…
Mmiliki wa kampuni ya Matondo Breweries Investment Limited, Matondo Kilugala Malanda iliyopo wilayani Bukombe, amefikishwa kati…
Mmiliki wa kampuni ya Matondo Breweries Investment Limited, Matondo Kilugala Malanda iliyopo wilayani Bukombe, amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Mkoa wa Geita kujibu mashtaka manane ikiwamo kugushi stampu za Mamlaka…
Fidan muda wote kichwa kinawaka moto
Fidan muda wote kichwa kinawaka moto (Feed generated with FetchRSS)
Kilimo endelevu Kigamboni kinavyolinda mazingira na kuboresha afya za wananchi
Uhifadhi wa mazingira unaendelea kuwa ajenda muhimu duniani kutokana na changamoto za...
Masauni atoa rai kwa wabunge kuhimiza muungano kupitia mikutano
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhandisi Hamad Yussuf Masauni...
Ngoja kwanza, yaani baba Chaichaka anataka kumuua mwanaye kisa mali tu?
Ngoja kwanza, yaani baba Chaichaka anataka kumuua mwanaye kisa mali tu? 👀 #PichaYanguSeries (Feed generated with FetchRSS)
Chalamila awaonya makandarasi wanaosuasua ujenzi barabara, madaraja
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila, amesema mkoa hauwezi kubaki na taswira ya...
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU FEBRUARI 11, 2026- MAHAKAMA YAAMURU KIZIMBA CHA MASHAHIDI KIBADILISHWE
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU FEBRUARI 11, 2026- MAHAKAMA YAAMURU KIZIMBA CHA MASHAHIDI KIBADILISHWE (Feed generated with FetchRSS)
Wachimbaji waomba lango la kuingia Tanzanite kuwa wazi saa 24
Mnyawi ameeleza kwamba changamoto ya lango la kuingia na kutoka ndani ya ukuta kufungwa saa 5...
Viongozi wapya Chaneta kuweni wabunifu
BARAZA la Michezo la Taifa (BMT) limewataka viongozi wapya wa Chama cha Netiboli Tanzania (CHANETA) kuwa wabunifu ili kukuza vipaji vya vijana na kurejesha heshima ya mchezo huo nchini. The…
First school club launched to promote clean cooking
DODOMA: Deputy Minister for Energy, Ms Salome Makamba, has launched the Clean Cooking Energy Club at Bunge Girls Secondary School in Dodoma, calling for the participation of various institutions, the…
NBAA yaendelea kuwanoa wanafunzi taaluma ya uhasibu
DAR ES SALAAM: Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu Tanzania (NBAA) imeendelea kutoa elimu na mafunzo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na shule za sekondari nchini, ikiwa ni…
Waliorejeshwa Soko Kuu Kariakoo wahofia kuyaachia maeneo walikohamishiwa
Zile kelele za baadhi ya wafanyabiashara kutishia kuandamana baada ya majina yao kutokuwamo...
Mabadiliko ya tabianchi yaibua hofu kwa watu wenye ulemavu
Wakati athari za mabadiliko ya tabianchi zikizidi kushuhudiwa kwa mafuriko, ukame na uhaba wa...
Nyuki wavamia shule wajeruhi wanafunzi 11, walimu watatu
Wanafunzi 11 na walimu watatu wa Shule ya Msingi Kambi Tano iliyopo Mtaa wa Kambi Tano, Kata ya...
Wanafunzi wanne wajeruhiwa ajalini, 16 wakinusurika
Majeruhi hao wamepelekwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro (Mawenzi) kwa ajili...
Dr Samia appoints the board chairpersons of four public institutions
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has appointed chairpersons of various boards of public institutions in the country. According to a statement issued by the Chief Secretary, Dr Moses…
Oburu Oginga Amsuta Edwin Sifuna kwa Kupinga Vyeo Rasmi vya ODM: “Demokrasia Sio Machafuko”
Kiongozi wa ODM Oburu Oginga alikabiliana na maafisa wa chama kuhusu maoni tofauti kabla ya uchaguzi wa 2027, akisisitiza nidhamu na maamuzi ya pamoja.
Samia Scholarship fully funds top science students in a bid to groom scientists
DODOMA: THE Tanzanian government is fully funding top science students through the Samia Scholarship to boost the number of scientists in Tanzania, Education, Science, and Technology. Minister for Education, Prof…
Rais Samia ateua wapya, yumo Anne Makinda
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi katika taasisi mbalimbali za...
Leaders of three regions tasked to identify areas for farming, fishing, livestock keeping
ARUSHA: TANGA Regional Commissioner Batilda Buriani has directed regional and district leaders in Arusha, Kilimanjaro, Manyara and Tanga to identify and confirm suitable areas for productive farming, livestock keeping, and…
Zaidi ya huduma za kibingwa 3,000 zatolewa siku 100 za Rais Samia
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (Upanga na Mloganzila) imefanikiwa kuwasogezea wananchi zaidi ya 3,000 huduma za kibingwa katika kipindi cha siku 100 za Rais Samia Suluhu Hassan, jambo linaloashiria utekelezaji…
Dr Gwajima calls for nationwide efforts in ending the FGM threat
ARUSHA: THE Minister for Community Development, Gender, Women and Special Groups, Dr Dorothy Gwajima, has urged communities to work closely with the government to eliminate Female Genital Mutilation (FGM). Speaking…
Huzuni jamaa wa Nandi akidaiwa kumuua mkewe siku chache baada ya kupakia picha yao maridadi Facebook
Kijiji kimoja Nandi kinaomboleza baada ya Duncan Kimaru wa miaka 31 kudaiwa kumuua mkewe Jelagat, 24, kabla ya kujitoa uhai na kuwaacha wanao wawili mayatima
Familia ya Rais Edgar Lungu yapata pigo jingine
Lungu aliongoza Zambia kuanzia mwaka 2015 hadi 2021 aliposhindwa katika uchaguzi mkuu na Rais...
Zijue pandashuka za ushirikiano wa Trump na Netanyahu
Trump na Netanyahu washirika wa karibu kwa miaka mingi, lakini sio kutokubaliana. Hapa kuna wakati muhimu katika uhusiano wao.