Yanga, Rabat kitaumana leo kwa Azam usipime
Wikiendi hii, kazi inaendelea kwa wawakilishi wetu hao kujitupa uwanjani kusaka ushindi ambao...
Wikiendi hii, kazi inaendelea kwa wawakilishi wetu hao kujitupa uwanjani kusaka ushindi ambao...
Wikiendi ya moto wa soka kwenye Kisimbuzi chako cha AzamTV leo Jumamosi Saa 1:00 usiku Mnyama SC na AzamFC watakuwa dimbani. Mnyama Simba SC atakuwa ugenini nchini Angola akikipiga na…
Benki Kuu ya Kenya (CBK) imezuia matumizi mabaya ya fedha za noti, ikiwemo kuzikunja na kuzitumia kama mapambo mbalimbali. Benki hiyo imesema tabia hiyo husababisha noti kuchakaa haraka na kulazimika…
Kuelekea ufunguzi wa Soko la Kimataifa la Kariakoo unaotarajiwa kufanyika kesho na Rais Samia Suluhu Hassan, mwandishi wetu Jafari Mponda amefanya mahojiano na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo…aliyesema…
Kama umeamua kishi kikamaria, basi tandika mikeka sana. Mpaka Gabachori akusanye virago vyake...
Inadaiwa kuwa ukuaji wa kizazi cha sasa na cha zamani unaonyesha tofauti kubwa. Kizazi kilichozaliwa kuanzia mwaka 2000 kinaonekana kuzeeka kwa haraka kimuonekano, yaani umri wao halionekani kulingana na ukubwa…
Argentina na Marekani zimesaini makubaliano ya biashara na uwekezaji siku ya Alhamisi, zikihalalisha makubaliano ya mfumo yaliyofikiwa mwezi Novemba, huku lengo kuu likiwa ni kupunguza ushuru wa pande zote, mamlaka…
Mauaji ya wanandoa wa imani tofauti ya dini yameshtua kijiji kidogo katika jimbo la Uttar Pradesh kaskazini mwa India ambapo wakazi wameishi kwa amani kwa miaka mingi.
Maswa. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Maswa (Mauwasa) imeanza kufunga mita za...
Peter Kibui Afichua Jinsi Alivyookoa Maisha ya Mwanamke Aliyeajiriwa Kumuua, Akishiriki Simulizi ya Kutisha ya Udanganyifu, Hatari, na Hatimaye, Ukombozi.
KUTOKA ANGOLA: Mwandishi wa habari za michezo wa nchini Angola azungumzia yale yanayosemwa na wapenda soka kuelekea mechi ya leo ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya Petro Atletico…
President Samia Suluhu Hassan with her guest, the President of the Republic of Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, shortly after his arrival at the State House grounds in Dar es Salaam…
Pentagon imetangaza Ijumaa, Februari 6, kwamba inavunja uhusiano wote wa kielimu na Chuo Kikuu cha Harvard, hatua zaidi katika shambulio la utawala wa Trump dhidi ya taasisi kubwa za kitaaluma…
Kama una uzito mkubwa na unataka kuupunguza ili kufanya mwili wako kuwa mwepesi na wenye afya, wataalamu wa mazoezi wanashauri ufanye mazoezi haya. #AzamTVUpdates ✍Halima Abdallah Mhariri | John Mbalamwezi
NAIROBI: IF you have been privileged to have the wisdom of elders in your upbringing, you will have encountered their wise words. One of the insights I gained during my…
Serikali ya Cuba imetangaza kifurushi cha hatua za dharura siku ya Ijumaa katika nyanja za elimu, ajira, na usafiri ili kushughulikia mgogoro wa nishati ambao nchi inapitia chini ya shinikizo…
Ukraine imelengwa leo Jumamosi asubuhi, Februari 7, na shambulio kubwa kwenye gridi yake ya nishati, na kusababisha kukatika kwa umeme katika sehemu kubwa ya nchi, shirika la umeme la Ukraine,…
MASHABIKI YANGA, SIMBA: Shabiki wa Yanga kutoka Mwembe Yanga Dar es Salaam, asema anaitaka sare tu mbele ya AS FAR katika mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).…
Iran na Marekani zimekubaliana “kuendelea na mazungumzo yao,” Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi alisema siku ya Ijumaa baada ya duru ya kwanza ya mazungumzo yaliyofanyika Oman…
🧠 Kisanyansi… binadamu anaweza kukaa siku ngapi bila ‘kwenda haja’? A. 4 B. 7 C. 14 ✍Chagua Jibu Sahihi! #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi
KUTOKA ANGOLA: Unafahamu kuwa Estadio 11 de Novembro ndio uwanja ambao Lionel Messi ‘aliutwanga’ hapo akiwa na kikosi cha Argentina….? Unafahamu kuwa Simba SC sio mgeni kukipiga katika dimba hilo…??…
Nchini Niger, wiki moja baada ya shambulio la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Niamey, Waziri wa Uchukuzi amezuru eneo hilo. Kanali-Meja Abdourahmane Amadou alienda kutahtmini mfumo wa usalama. Shambulio…
Washukiwa wawili, Ali Samir Abdalla na Ajip Haisam, walikamatwa katika uwanja wa ndege wa JKIA kwa wizi wa M-Pesa, picha za CCTV zilinasa uhalifu wao.
Marekani na Iran zilikutana jana huko Oman kufuatia kuongezeka kwa mvutano kati ya nchi hizo, huku Trump akirudia kuonya kuhusu uwezekano wa shambulio la kijeshi.
Wakristo 89 wa mwisho waliotekwa nyara wakati wa shambulio la makanisa matatu na magenge ya wahalifu kaskazini mwa Nigeria wameachiliwa huru huku kukiwa na ongezeko la utekaji nyara wa watu…
Meneja wa timu ya Manchester City, Pep Guardiola aliisisitiza jana Ijumaa kwamba atapaza sauti yake waziwazi wakati wowote "watu wasio na hatia wanapouawa" popote pale duniani, akijibu ukosoaji wa Baraza…
Ujasusi wa Ulinzi wa Ukraine ulipata miili ya raia wengine wawili wa Kenya walioajiriwa na serikali ya Urusi katika jiji la Lyman katika eneo la Donetsk.
Akiwa anaelekea kutimiza miaka 10 tangu amepata umaarufu kupitia muziki, Nandy amejipambanua...
Iringa. Wahandisi nchini wametakiwa kutekeleza kwa vitendo maono ya Serikali katika maendeleo...
Ukame unaoendelea katika Pembe ya Afrika sasa umeenea hadi maeneo ambayo hapo awali hayakuwa yakikumbwa sana na majanga ya ukame.
Mkuu wa Baraza la Utawala nchini Sudan, Luteni Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, amesema kwamba hakutakuwa na amani na wale walioua, kupora na kuwafurusha makwao watu wa Sudan.
Kesi iliyowasilishwa mahakamani kupinga ushindi wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda katika uchaguzi mkuu wa Januari 15 imetupiliwa mbalii.
Rapa wa Marekani, Asap Rocky, 37, amejibu kwa ustadi swali la mwanafunzi mdogo aliyeuliza kama...
Ligi Kuu ya Saudi Arabia iko tayari kumuuza Cristiano Ronaldo kwa pauni milioni 43, Chelsea inawania saini ya Dusan Vlahovic ikipambana na Tottenham, huku Sergio Ramos akielekea Marseille.
Rais wa Marekani, Donald Trump, alizua hasira katika duru za kisiasa baada ya kurusha mkanda wa video kwenye jukwaa lake la "Truth Social" akitangaza nadharia za njama za uchaguzi ikiwa…
Serikali imedhamiria kuimarisha huduma za tiba utalii ikiwa ni sehemu ya mikakati ya kuboresha na kuimarisha sekta ya afya nchini kwa kushirikisha sekta binafsi. Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa…
Kundi la kigaidi la Daesh limetangaza kuwa limehusika na shambulio lililolenga msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia wa Khadijatul Kubra mjini Islamabad huko Pakistan na kuua makumi ya watu…
Tanzania, ikishirikiana na mataifa ya Kenya na Uganda, itakuwa mwenyeji mwenza wa mashindano...
Ni wazi kuwa sanaa ya uchoraji ni moja ya utamaduni wa Kiafrika. Kwani yapo makabila kadhaa...
Naibu kamanda wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) anayesimamia masuala ya kisiasa amesema kuwa kuoneshwa hivi karibuni kwa kombora la kisasa la masafa marefu lenye…
Naibu kamanda wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) anayesimamia masuala ya kisiasa amesema kuwa kuoneshwa hivi karibuni kwa kombora la kisasa la masafa marefu lenye…
Ufaransa na Uingereza zinaripotiwa kuhusika katika mauaji ya Saif al-Islam Gaddafi, mtoto maarufu wa Rais wa zamani wa Libya Kanali Muammar Gaddafi, kwani alionekana kama mtu ambaye angeweza kuiunganisha tena…
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, nchi ya Sudan inayoshuhudia vita vya wenyewe kwa wenyewe inakabiliwa na njaa kali.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Haki za Binadamu ya Al-Dameer amekosoa vikali utaratibu wa sasa wa kivuko cha Rafah, akikiita "tasa na hatari" na kuonya kwamba utaratibu wa sasa umesababisha ongezeko…
Leo ni Jumamosi 18 Shaaban 1447 Hijria mwafaka na 7 Februari 2026 Miladia.
Karne ya ishirini Miladia haikushuhudia tu matukio ya kushangaza ya binadamu, bali pia ilibeba baadhi ya kurasa zenye giza kuu katika historia ya mwanadamu. Katika moyo wa bara la Afrika,…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
Usingizi bora hauji kwa bahati nasibu, bali ni matokeo ya nidhamu na maandalizi sahihi ya mwili na akili. Watu wengi hujaribu kulala wakiwa bado wamechochewa na mwanga wa simu, mawazo…
Serikali chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imepanga kuongeza mikopo ya halmashauri kwa vijana, wanawake na wenye ulemavu, kutoka asilimia 10 hadi 15, utakapoanza mwaka ujao wa fedha 2026/27.…