Mahakama Kuu Zanzibar imezuia uharibifu wa vifaa vilivyotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29,2025
Mahakama Kuu Zanzibar imezuia uharibifu wa vifaa vilivyotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29,2025. Uamuzi huo unafuatia maombi ya zuio yaliyowasilishwa mahamani hapo na wagombea 17 wa Chama ACT Wazalendo.…