Pombe haramu zinavyoitafuna Tanzania
Utafiti mpya uliofanywa umebaini kuwa asilimia 61 ya pombe yote inayotumiwa nchini ni haramu...
Utafiti mpya uliofanywa umebaini kuwa asilimia 61 ya pombe yote inayotumiwa nchini ni haramu...
Wabunge wamemaliza uchaguzi wao leo kwa kumchagua aliyepata shida ya kuzungumza lugha ya...
KUTOKA MOROCCO: Kikosi cha Yanga kikitoka hotelini kuelekea uwanjani kwa ajili ya mazoezi ya kujiandaa kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS FAR Jumamosi Februari 7, 2026.…
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Watanzania kuungana na kupambana na tatizo la rushwa na...
#HABARI: Mkoa wa Manyara unatarajia kuadhimisha Siku ya Wapendanao (Valentine’s Day) kwa namna ya kipekee kupitia Shindano la Royal Love Challenge. Katika shindano hilo, wapendanao wanatakiwa kupakia picha zao kwenye…
#HABARI: Baraza Kuu la Waislamu wa Kenya limeonya kwamba hali ya ukame inayoshudiwa kwa sasa katika Kaunti 23 nchini Kenya imefikia hali mbaya huku likiitaja kama dharura kamili ya kibinadamu,…
Katika kuadhimisha miaka 49 ya Chama Cha Cha Mapinduzi, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani, Lailah Ngozi, amewataka Wana CCM kuendelea kulinda…
TAARIFA YAHABARI SAA MBILI FEBRUARI05 2026 SPIKA WA BUNGE AKANUSHA BAADHI YA WABUNGE KUITWA TAKURURU (Feed generated with FetchRSS)
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBLI USIKU - 05/02/2026
Nelson Havi kuhamia Democracy for the Citizens Party (DCP) cha Rigathi Gachagua kunabadilisha mkondo wa siasa za Nairobi kuelekea 2027. Anasaka kiti cha Westlands
#HABARI: Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulidi, amewataka wananchi kupuuza chokochoko za watu wanaoishi nje ya nchi wanaolenga kuvuruga amani na utulivu uliopo nchini. Akizungumza katika…
Maofisa Habari na Mawasiliano serikalini wametakiwa kutumia majukwaa mbalimbali ikiwemo...
Naibu gavana wa Homa Bay Oyugi Magwanga ametangaza azma yake ya kuwagombea ugavana 2027 huku mvutano kati yake na Gavana Gladys Wanga ukipamba moto.
Chama cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania chaadhimisha miaka 49 tangu kuanzishwa kwake.
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anataka mahusiano ya nchi yake na Saudi Arabia kuwa katika kiwango kipya, baada ya kufanya ziara ya masaa mawili na nusu mjini Riyadh na kuzungumza…
IEBC Yamteua Moses Ledama Sunkuli kama kaimu Mkurugenzi Mtendaji kufuatia kuondoka kwa Hussein Marjan, huku tume ikianza kutafuta mkuu wa kudumu.
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye ametahadharisha kuwa bila kusimamia utu, Chama cha Mapinduzi...
Wataalamu walioagizwa na Umoja wa Mataifa wameonya mnamo Februari 5, 2025, kwamba njaa inatishia kuenea katika maeneo mawili mapya magharibi mwa Sudan, kufuatia El-Fasher, mji mkuu wa Darfur Kaskazini, kuanguka…
Kamishna wa Tume ya Huduma za Bunge Johnson Muthama aliomboleza kifo cha mwanawe, Moses Nduya, na kusababisha wimbi la rambirambi kutoka kwa Wakenya.
Maofisa wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wa kanda za Kusini, Mashariki na Kaskazini...
Watu wanne, wakiwemo raia wawili wa China, wameshtakiwa leo Alhamisi, Februari 5, kufuatia kukamatwa kwao kusini-magharibi mwa Ufaransa. Wanashukiwa kujaribu kusambaza taarifa za kijeshi kwa mamlaka ya China. Imechapishwa: 05/02/2026…
Dodoma: The government has reminded institutions that feed more than 100 people and have not yet adopted clean cooking technologies to do so immediately in order to advance the country’s…
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dodoma, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaasa…
Wakati Serikali ikiendelea kusisitiza msimamo wake mkali juu ya uwajibikaji na uadilifu wa...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungulia Uwanja wa KMC, Dar es Salaam kutumika kwa michezo ya Ligi baada ya kufanya marekebisho yaliyokidhi vigezo vya kikanuni na sheria za…
Mtu aliyefariki miaka mitano iliyopita ameteuliwa katika kamati iliyopewa jukumu la kuandaa uchaguzi nchini Sudan Kusini, na kusababisha kejeli nyingi kwenye mitandao ya kijamii na kuilazimisha serikali kuomba radhi. Rais…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Serikali imekimbilia Mahakama ya Rufani kupinga hukumu ya Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi...
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Kupanda kwa kasi kwa bei ya dhahabu duniani kumezifanya nchi nyingi barani Afrika, zinazochimba madini hayo, kujaribu kunufaika na fursa hiyo.
CAFCC: Tazama ‘kispika’ cha mashabiki wa Azam FC kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya AS Maniema. Kispika kimepigwa ndani ya studio za Azam TV. Mechi hiyo…
Hatimaye leo Februari 5,2026 pazia la tamasha la Sauti za Busara, linalokutanisha wasanii zaidi...
DODOMA: As the National Development Vision 2050 targets having over 80 per cent of government services accessed through secure, inclusive and user-friendly digital platforms within the next 25 years, the…
Seif al-Islam Gaddafi, mtoto wa kiongozi wa zamani wa Libya Muammar Gaddafi atazikwa kesho Ijumaa katika mji mmoja kusini mwa Tripoli ambao bado ni mtiifu kwa familia ya Gaddafi.
Jeshi la Marekani limesema kuwa Washington na Moscow zimekubaliana kuanzisha tena mazungumzo ya ngazi ya juu kati ya majeshi yao.
CAFCC: “Lazima tukaweke historia pamoja” Katibu wa Mashabiki wa Azam FC, Ahmed Jobenyo ametoa wito kwa mashabiki wa timu hiyo kuwasiliana nae ili kupata maelekezo ya namna gani wanaweza kwenda…
Ukosefu wa chakula unaenea katika maeneo mawili zaidi ya jimbo la Darfur Kaskazini huko Sudan.
Mazungumzo ya amani kati ya Urusi na Ukraine, yanayosimamiwa na Marekani, yameendelea kwa siku ya pili leo katika mji mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu, Abu Dhabi.
ZANZIBAR KASKAZI CUP 2026: Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii Zanzibar, Aboud Suleiman Jumbe amesema serikali imekuwa ikishirikian vema na sekta binafsi kuhakikisha inautangaza mchezo wa vishada na kuimarisha mfumo…
Katibu wa Kamati ya Uhusiano na Uenezi wa Shirikisho la Wachimbaji wa Madini Tanzania (FEMATA), Mess Chengula, amesema mpango wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wa kuuza sehemu ya akiba…
Huko mtaani kumekuwa na malalamiko kuhusu upatikanaji wa sarafu za Sh100 na Sh200, hali...
Wananchi na madereva wanaotumia barabara eneo la External jijini Dar es Salaam wamelalamika...
Ukraine na Urusi zimebadilishana zaidi ya wafungwa 300 leo kufuatia mazungumzo huko Abu Dhabi.
TANZANIA PRISONS vs MASHUJAA FC: Kocha msaidizi wa Mashujaa FC, Charles Fred amesema kikosi cha timu hiyo kinaendelea mazoezi kwa ajili ya kuikabili Tanzania Prisons kwenye mchezo wa NBC Premier…
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz Alhamis amepuuzilia mbali ukosoaji mkali kutoka kwa waziri wa mambo ya kigeni wa Iran, akisema hilo linaonesha wasiwasi ilionao Tehran.
Wakati wachuuzi katika soko la Kariakoo na wafanyabiashara wakipaza sauti zao kutaka maboresho...
Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya vipindi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa siku hizi za maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran. Kipindi chetu kinazungumzia…