Mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran kuanza Oman
Marekani na Iran zinakutana Ijumaa mjini Muscat nchini Oman kwa mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran. Ajenda kamili ya mkutano huo haijabainika bado, lakini Iran inataka vikwazo vijadiliwe.