Wizara ya afya ,Wizara ya mambo ya ndani ya nchi ,Wizara ya elimu ,Wizara ya ujenzi pamoja na shirika la maendeleo la watu wa Japan wameandaa mradi wa kuboresha huduma za dharura kwa pamoja wenye lengo la kuhakikisha taarifa kuhusu ajali za Barabarani zinapatikana kwa uhakika na kushughulikiwa kwa wakati.
Mradi huo wa kimkakati utaratibiwa na hospitali ya Rufaa ya mkoa ya Amana ambapo Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya hiyo Dkt Bryceson Kiwelu amesema mkakati huo unavipaumbele vitatu ikiwemo kukusanya takwimu sahihi ambazo zinasomana kutoka kila sekta ya wizara
Elimu ya usalama Barabarani ,Uokozi na majnga mengine ya Dharura ni miongo mwa vipaumbele vya Mkakati Huo
(Feed generated with FetchRSS)