Simba yaifuata Pamba Jiji, wakati Pamba Jiji nao wakiendelea kujifua katika mazoezi makali kuelekea mchezo wao wa Machi 19, 2026 kwenye Dimba la CCM Kirumba.
Baadhi ya wachezaji wa Pamba Jiji na msemaji wao Moses William wameeleza walichopanga kuifanya Simba kwenye mchezo huo.
#NBCPremierLeague #NBCPL #SimbaSC #PambaJijiFC
(Feed generated with FetchRSS)