Chama cha Madereva wa Malori na Mabasi Tanzania TLDTA kimempongeza Rais wa Jmahuri ya muungano wa Tanzania kwa kuwarejesha salama nyumbani watanzania waliokwama Mashariki ya Kati kuja Tanzania Pamoja na Usimamizi Mzuri wa mikakati ya uwekezaji Jambo ambalo limefungua fursa kwa watanzania kuwekeza ndani na nje ya nnchi.

Akizungumza Jijini Dar es salaam wakati alipowapokea wawekezaji kutoka nchini Jamhui ya Kidemokrasia ya Congo Mwenyekiti wa TLDT amesema Rais wa Tanzanani na serikali yake wametengeneza sera rafiki ambazo zimewavutia wawekezaji kuja nchini na pia wawekezaji kuja Tanzania kutangaza fursa mbalimbali kama ambavyo wageni hao kutoka XPO BETON ya Nnchi Congo DR wamefika nchini kuelezea kutangaza uwekezaji katika Eneo la Karemi.

#kilichoborakabisa

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *