Mkutano wa Injili ulioratibiwa na Shirika la A Light to the Nation, ambao awali ulizuiwa na serikali ya Mkoa wa Tabora kutokana na kuwepo kwa viashiria vya kwenda kinyume na maadili ya Mtanzania, hatimaye umeruhusiwa na kufanyika leo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *