Ruzuku ya pembejeo za kilimo inayotolewa na Serikali chini ya uongozi wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuwa chachu ya maendeleo kwa wakulima wadogo na vijana katika Wilaya ya Mbozi, mkoani Songwe.

Kupitia vyama vya ushirika, wakulima wa zao la kahawa wameanza kunufaika na upatikanaji wa pembejeo kwa njia ya mikopo, hatua inayochochea ongezeko la uzalishaji pamoja na kuimarisha uchumi wa kaya.

#kilichoborakabisa

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *