WAISLAMU TABORA WAHIMIZWA AMANI NA USHIRIKI CHANJO YA POLIO
Waumini wa Kiislamu mkoani Tabora wamehimizwa kuendeleza amani, mshikamano na upendo katika jamii, huku wakitakiwa kushiriki kikamilifu zoezi la chanjo ya polio litakalofanyika Machi 24–27 katika mikoa mbalimbali, wakikumbushwa kuwa ugonjwa huo ni hatari na unaweza kusababisha vifo.
@deilahmomo
(Feed generated with FetchRSS)