Wakati Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) imeanza utafiti wa siku 22 katika Ziwa Tanganyika, ukiwashirikisha watafiti kutoka nchi zinazozunguka ziwa hilo ambazo ni Tanzania, Rwanda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) pamoja na Zambia.
Tumezungumza na Dkt Benedict Kashindye ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha TAFIRI Mwanza ambaye amesema kuwa utafiti huo unahusisha ukusanyaji wa takwimu za kisayansi kwa kutumia mbinu mbalimbali zitakazosaidia kubaini hali halisi ya rasilimali za samaki katika ziwa hilo.
(Feed generated with FetchRSS)