Jeshi la Israel laonya kuwa linapanga kuongeza mashambulizi yake dhidi ya Lebanon
Jeshi la Israel limeonya leo Jumatatu kwamba linapanga “kuongeza” mashambulizi yake nchini Lebanon likilenga Hezbollah kama kulipiza kisasi kwa mashambulizi ya roketi ya vuguvugu hili la Washia kuelekea eneo lake.…