MZIZIMA DERBY: Ni mechi ipi ya ‘Dabi ya Mzizima’ ilichezwa siku mbili na sabab ilikuwa nini….???,

Watu saba wa mwanzo watakaojibu kwa usahihi swali hilo, watajishindia tiketi ya kwenda kuushudia mchezo huo katika dimba la Azam Complex Chamazi.

VIGEZO:

1. Uwe mkazi wa Dar es Salaam.
2. Uwe na uhakika wa kuweza kufika Azam Complex kwa gharama zako.
3. Ujibu swali kwa usahihi kama ilovyoulizwa.
Tiketi ni ya VIP ‘B’ na washindi watatumiwa kwa njia ya WhatsApp au DM ya Instagram.

Hakikisha unakuwa “online” ili kurahisisha mawasiliano.

Mechi ni saa 1:00 usiku na itakuwa LIVE pia #AzamSports1HD

#MzizimaDerby

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *