KMC FC: “…kwetu hakuna kingine zaidi ya ushindi”
KMC wamefanya mazoezi yao ya mwisho leo kwenye Dimba la Airtel kuelekea mchezo wao wa kesho dhidi ya Singida BS.
Kocha wa timu hiyo Imani Mwalupetelo na baadhi ya wachezaji wanasema wako tayari kuipambania timu ili isishuke daraja, huku mashabiki wa Singida BS nao wakitamba kuinyoosha KMC.
Mechi hii ni saa 8:00 mchana kama anavyoripoti Ruqaiya Mbugita akiwa Singida.
✍️ @amosimasokotz
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi #SingidaBSKMC #KMCFC #SingidaBS
(Feed generated with FetchRSS)